Wakati marais wengine wakifikiria kubaki ikulu kiani, Magufuli asisitiza kuondoka baada ya vipindi viwili

Wakati marais wengine wakifikiria kubaki ikulu kiani, Magufuli asisitiza kuondoka baada ya vipindi viwili

Jana Magufuli amerudia tena kwamba kamwe hataki kuongeza hata siku moja, mara muda wake utakapo kamilika. Katika kuthibitisha hilo, amesema atahakikisha uchaguzi wa October mwaka huu utafanyika kama ulivyopangwa pamoja na kuwepo kwa Corona.

Hii ni kinyume kabisa na marais wa Rwanda na Uganda ambao tayari wameonyesha nia za kuendelea kubaki madarakani, wakati Uhuru Kenyatta akijijengea mazingira ya kuwa waziri mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kw akili yako uhuru awe mbunge tena[emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Forbes na The times zimemtaja kuwa ndiye rais bora barani Africa mara mbili mfululizo, na mwaka huu pia huenda akawa mshindi, inaonekana wote hawa hawana akili kukuzidi wewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Mabeberu[emoji23][emoji23]
Na kila siku anawaaminishia km ndio wanawatumia wapinzani kuleta taharuki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mabeberu[emoji23][emoji23]
Na kila siku anawaaminishia km ndio wanawatumia wapinzani kuleta taharuki

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi waliosema Kenya imefikia uchumi wa kati ni wakamba na mijikenda?, Nilidhani ni hao hao mabeberu, basi tusawaamini kumbe walitudanganya. Vipi nchi yenye uchumi wakati lakini watu wanakufa njaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uhuru amechoka, unamuona tu body language yake, huyo jamaa kamwe hataki tena madaraka ya uongozi anangoja 2022 ndo aruhusiwe kunywa kuanzia asubuhi hadi jioni bila kusummbuliwa na mtu.

Alafu unajua ofisi ya Prime Minister hua ina kazi nyingi kuliko hata ofisi ya Rais, kwahivyo ku suggest ati Uhuru anataku kurudi 2022 kama prime minister ni mawazo ya ndotoni
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Magufuli angeweza kuacha urais bila aibu angejiuzulu hata kesho.

Ni mtu ambaye urais umemshinda na yeye kashajua hilo.

Kilichobaki ni maigizo tu.

Sent from my typewriter using Tapatalk
Watu wenye akili zao makalio** katika ubora wenu

God save us
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Uhuru amechoka, unamuona tu body language yake, huyo jamaa kamwe hataki tena madaraka ya uongozi anangoja 2022 ndo aruhusiwe kunywa kuanzia asubuhi hadi jioni bila kusummbuliwa na mtu.

Alafu unajua ofisi ya Prime Minister hua ina kazi nyingi kuliko hata ofisi ya Rais, kwahivyo ku suggest ati Uhuru anataku kurudi 2022 kama prime minister ni mawazo ya ndotoni
Hahahaha, hahahaha. Inabidi atokee hadharani akanushe, kwasababu wapambe wake ndio wanaosema na kutaka awe waziri mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jana Magufuli amerudia tena kwamba kamwe hataki kuongeza hata siku moja, mara muda wake utakapo kamilika. Katika kuthibitisha hilo, amesema atahakikisha uchaguzi wa October mwaka huu utafanyika kama ulivyopangwa pamoja na kuwepo kwa Corona.

Hii ni kinyume kabisa na marais wa Rwanda na Uganda ambao tayari wameonyesha nia za kuendelea kubaki madarakani, wakati Uhuru Kenyatta akijijengea mazingira ya kuwa waziri mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Ulikuwa hujui kuwa ni msanii mzuri. Angetoka tu hata sasa hivi, nani anamhitaji
 
Nimesema nchi lazima iongezwe na sheria, sio kila mtu anakurupuka toka usingizini na kuja na wazo lake. Katiba ndiyo inayoelekeza kupiga kura, kwanini tusiseme aendelee bila hata kuwepo kwa uchaguzi?

Kama tunaheshimu katiba kwa kufanya uchaguzi kila baada ya miaka mitano, kwanini hatutaki kuifuata katiba hiyoyhiyo inayosema rais atakuwa madarakani sio zaidi ya vipindi viwili vya miaka mitano mitano?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani kuna sheria ya kuwa ruhusu viongozi kuwa wezi ,mafisadi ,walarushwa,kama hakuna mbona viongozi wanafanya hayo na hakuna kitu wanafanya kipindi cha maraisi walio pita,sisi tunataka UTAWALA WA HAKI SIYO SHERIA kwasababu siyo haki kwa ajili ya sheria Bali ni sheria kwa ajili ya haki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaha, hahahaha. Inabidi atokee hadharani akanushe, kwasababu wapambe wake ndio wanaosema na kutaka awe waziri mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Tafuta speeches za Uhuru za hivi karibuni alafu ulinganishe na zile za hapo awali,(siongelei zile hotuba za kuandikwa, speeches zile anaongea tu yalio akilini) Huyo jamaa anakaa amechoka kusumbuliwa na watu...
 
Kuna video ambayo tayari nimeipost kwenye uzi huu. Ila wanajifanya kwamba hawaioni. Rais U.K. amesema live zaidi ya mara moja kwamba ataenda nyumbani na ata'retire' kabisa kutoka kwa siasa.
 
Back
Top Bottom