Wakati marais wengine wakifikiria kubaki ikulu kiani, Magufuli asisitiza kuondoka baada ya vipindi viwili

Bado haifichi upoyoyo wako

Sent using Jamii Forums mobile app
Upopoyo unao wewe ambaye nimekupa hoja kwa data za BOT, umeshindwa kujadili hoja umeleta upopoyo.

Tena kwa kuandika "Nonesense".

Yani hata neno moja tu limekushinda kuandika.

Ndiyo maana umeshindwa kujadili hoja.

Kwa sababu wewe ni mtupu.

Jadili hoja, acha viroja.

Sent from my typewriter using Tapatalk
 
Kama atafanya kazi vizuri na maendeleo ya kweli kupatikana itakuwa ni ujinga kundoka madarakani Tanzania hatuitaji shooo za kubadili maraisi bali raisi mchapa kazi na mwenye kujali nchi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama atafanya kazi vizuri na maendeleo ya kweli kupatikana itakuwa ni ujinga kundoka madarakani Tanzania hatuitaji shooo za kubadili maraisi bali raisi mchapa kazi na mwenye kujali nchi

Sent using Jamii Forums mobile app
Katiba tumejiwekea wenyewe, hakuna sehemu inayoruhusu rais anayofanya vizuri kuongezewa muda, ni hatari Sana kubadilibadili katika ili kukidhi maslahi ya watu fulani kama wafanyavyo Kenya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katiba tumejiwekea wenyewe, hakuna sehemu inayoruhusu rais anayofanya vizuri kuongezewa muda, ni hatari Sana kubadilibadili katika ili kukidhi maslahi ya watu fulani kama wafanyavyo Kenya.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna Tabaka baya la watu lazima magufuli abaki kwa miaka 15 hivi ili ilo tabaka lipite vinginevyo tutakuja kulia na kusaga meno

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Magufuli anaheshimu sana katiba
 
Kuna Tabaka baya la watu lazima magufuli abaki kwa miaka 15 hivi ili ilo tabaka lipite vinginevyo tutakuja kulia na kusaga meno

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli, lakini ni hatari zaidi kuchezea katika, tukianza kuchezea katika, tunaendelea kufanya hivyo hata atakapopatikana kiongozi wa hovyo, mchezo wa kuchezea katiba ni mtamu sana kwa viongozi waliopo madarakani, tunaendelea kubadilisha na Kuomintang'a katiba kila mwaka, lazima tujifunze kutoka Kenya, tangu wanebadilisha katiba 2010, kila siku wanakuja na mapendekezo ya kuibadilisha tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Soma maelezo yangu vizuri Sana, utagundua kwamba Kagame ni miongoni mwa marais niliowataja kubakia madarakani. Hilo la role model wake unalijua wewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
M-mbabe hivi ukiwa na role model unafuata kila kitu chake hata kujamba? Nimesema kujamba kwakuwa sio jambo jema waweza tenda mbele za watu. Sisi tuna role model kwenye hili la miaka 10, Nyerere JK, Mwinyi AH, Mkapa BW, Kikwete JM, Salmin A, Karume AA,
 
Tumia akili kunatofauti kati ya kugombea uraisi na kushinda uraisi kama atumtaki kwanini tusimwondoe kwa kura siyo hoja ya miaka 10 maana hata sasa tunayo haki ya kutomchagua baada ya hii miaka 5 ya kwanza hivyo hivyo tusizuie haki zetu za kumchagua raisi tumtakaye kisa kamaliza miaka 10

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hopeless comment ever!
 
Nimesema nchi lazima iongezwe na sheria, sio kila mtu anakurupuka toka usingizini na kuja na wazo lake. Katiba ndiyo inayoelekeza kupiga kura, kwanini tusiseme aendelee bila hata kuwepo kwa uchaguzi?

Kama tunaheshimu katiba kwa kufanya uchaguzi kila baada ya miaka mitano, kwanini hatutaki kuifuata katiba hiyoyhiyo inayosema rais atakuwa madarakani sio zaidi ya vipindi viwili vya miaka mitano mitano?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hopeless kwani huyo ni Magufuli? Nyinyi wanasaccos mnataabu sana rais anasema haongezi awamu ya tatu nyinyi mnakataa kwa hiyo mnataka nini sasa?
kwa vile huyu tunamjua.... hayuko consistent katika kauli zake kama yule (Kagame).
leo atasema hivi, kesho anaji contradict.

yeyote anayeamini kauli zake ni zezeta (zombie) tu!
 
Hopeless kwani huyo ni Magufuli? Nyinyi wanasaccos mnataabu sana rais anasema haongezi awamu ya tatu nyinyi mnakataa kwa hiyo mnataka nini sasa?
Kwanini ajiamini kuwa ni lazima apewe awamu ya pili ?. Unaweza ukawa Rais bora hata kwa kuongoza awamu moja. Mfano ni Jimmy Carter. Si lazima ufikirie kukaa awamu mbili .

Turuhusu uchaguzi huru, then hata akipewa awamu kumi , ni wananchi watakuwa wameamua siyo hii ya wao watawala kutupangia wakae mpaka lini na amrithishe nani !!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
JE UMEMWAMINI HATAGEUKA?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…