Wakati marais wengine wakifikiria kubaki ikulu kiani, Magufuli asisitiza kuondoka baada ya vipindi viwili

Kw akili yako uhuru awe mbunge tena[emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mabeberu[emoji23][emoji23]
Na kila siku anawaaminishia km ndio wanawatumia wapinzani kuleta taharuki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mabeberu[emoji23][emoji23]
Na kila siku anawaaminishia km ndio wanawatumia wapinzani kuleta taharuki

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi waliosema Kenya imefikia uchumi wa kati ni wakamba na mijikenda?, Nilidhani ni hao hao mabeberu, basi tusawaamini kumbe walitudanganya. Vipi nchi yenye uchumi wakati lakini watu wanakufa njaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uhuru amechoka, unamuona tu body language yake, huyo jamaa kamwe hataki tena madaraka ya uongozi anangoja 2022 ndo aruhusiwe kunywa kuanzia asubuhi hadi jioni bila kusummbuliwa na mtu.

Alafu unajua ofisi ya Prime Minister hua ina kazi nyingi kuliko hata ofisi ya Rais, kwahivyo ku suggest ati Uhuru anataku kurudi 2022 kama prime minister ni mawazo ya ndotoni
 
Reactions: Oii
Magufuli angeweza kuacha urais bila aibu angejiuzulu hata kesho.

Ni mtu ambaye urais umemshinda na yeye kashajua hilo.

Kilichobaki ni maigizo tu.

Sent from my typewriter using Tapatalk
Watu wenye akili zao makalio** katika ubora wenu

God save us
 
Reactions: Oii
Hahahaha, hahahaha. Inabidi atokee hadharani akanushe, kwasababu wapambe wake ndio wanaosema na kutaka awe waziri mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulikuwa hujui kuwa ni msanii mzuri. Angetoka tu hata sasa hivi, nani anamhitaji
 
Kwani kuna sheria ya kuwa ruhusu viongozi kuwa wezi ,mafisadi ,walarushwa,kama hakuna mbona viongozi wanafanya hayo na hakuna kitu wanafanya kipindi cha maraisi walio pita,sisi tunataka UTAWALA WA HAKI SIYO SHERIA kwasababu siyo haki kwa ajili ya sheria Bali ni sheria kwa ajili ya haki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaha, hahahaha. Inabidi atokee hadharani akanushe, kwasababu wapambe wake ndio wanaosema na kutaka awe waziri mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Tafuta speeches za Uhuru za hivi karibuni alafu ulinganishe na zile za hapo awali,(siongelei zile hotuba za kuandikwa, speeches zile anaongea tu yalio akilini) Huyo jamaa anakaa amechoka kusumbuliwa na watu...
 
Tafuta speeches za Uhuru za hivi karibuni alafu ulinganishe na zile za hapo awali,(siongelei zile hotuba za kuandikwa, speeches zile anaongea tu yalio akilini) Huyo jamaa anakaa amechoka kusumbuliwa na watu...
Kuna video ambayo tayari nimeipost kwenye uzi huu. Ila wanajifanya kwamba hawaioni. Rais U.K. amesema live zaidi ya mara moja kwamba ataenda nyumbani na ata'retire' kabisa kutoka kwa siasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…