Wakati Marekani akiwa hajui hili wala lile , Mchina kaanza majaribio ya Fighter Jet yake ya Sixth Generation 'The B -Type'

Wakati Marekani akiwa hajui hili wala lile , Mchina kaanza majaribio ya Fighter Jet yake ya Sixth Generation 'The B -Type'

Mmarekani na wachambuzi wake kwenye maonyesho ya SILAHA za Anga huko Uchina, walimnanga Mchina juu ya hiki Chuma, wakasema bado sanaaaa

Sasa Mchina hatimaye kawa Nchi ya kwanza Duniani kufanya majarabio ya Kizazi hiki Cha ndege vita.

View attachment 3185858
Mbona hakuna maneuverability yoyote. Tunaomba sifa za hiyo ndege tafadhali
 
China analenga soko la nje.
Nchi nyingi watanunua hizi ndege huyu mchina yupo kibiashara zaidi
 
japo naukubali uthubutu wa china katika kila nyanja, ila bado sana kumlinganisha na marekani/kumuweka uzani sawa na marekani.

Wengi wana mtazamo kama wako. Lakini wamarekani wenyewe wanakili kwamba China 🇨🇳 is a serious competitor!
 
Back
Top Bottom