Wakati Marekani akiwa hajui hili wala lile , Mchina kaanza majaribio ya Fighter Jet yake ya Sixth Generation 'The B -Type'

Mbona hakuna maneuverability yoyote. Tunaomba sifa za hiyo ndege tafadhali
 
China analenga soko la nje.
Nchi nyingi watanunua hizi ndege huyu mchina yupo kibiashara zaidi
 
japo naukubali uthubutu wa china katika kila nyanja, ila bado sana kumlinganisha na marekani/kumuweka uzani sawa na marekani.

Wengi wana mtazamo kama wako. Lakini wamarekani wenyewe wanakili kwamba China 🇨🇳 is a serious competitor!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…