Wakati matajiri duniani wakitoa misaada kukabiliana na COVID-19, Mo Dewji yeye anauza vitakasa mikono

Acha mawazo ya kimasikini. Kwani hao wanaotoa misaada wao umeambiwa hawafanyi biashara?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe umetoa msaada
 
Ni tanzania au africa tuu ndio watu hupenda kumpangia mtu namna ya kutumia pesa zake. Mleta mada hafahamu na huwa haji kupongeza mo na foundation yake wanaposaidia watoto kupata matibabu muhimbili.

Mkuu hii ya mo ichukue kama changamoto kwako siku nyingine tafuta pesa nyingi uje kugawa kwenye kipindi kama iki.





It is never to late to begin. Start now
 

Hongera kwa Uzi wako. Nilijiuliza siku nyingi sana.

Binafsi sijawahi kumu Appreciat Mo for anything he does. He is always after something. He is good for nothing.

Ni watu maarufu wengi sana wameonesha upendo kwa raia. Serikali pekee yake haiwezi, lazima kuwe na misaada ya watu kama hao.

Hawa wasanii kama kina Daimond, these people are worthless creatures and selfish.

1. Nilitegemea kuona wasanii wote including bongo Movie wamejikusanya na kutoa hata laki 5 kila mmoja kisha kununua vifaa vya kujikinga na Corona kwa kuikabidhi serikali.

2. Nilitegemea kuona wachezaji mpira ambao ni wazawa kujikusanya na kuchanga hata laki 2 kwa timu zote zinazoshiriki VPL, Na kuikabidhi serikali kwa ajili ya vita ya Corona.

Tumeona Samuel Eto, Didier Drogba alichofanya kwenye. nchi zao.

Where is Samata?

3. Nilitegemea kuona wabunge na mawaziri wakiiomba serikali wakatwe angalau 10% ya mshahara wao kwa ajili ya mapambano ya Corona kwa kipindi chote cha Corona.

4. Nilitegemea kuona UKAWA wakijiunga na kuchangia pesa kwa ajili ya mapambano ya Corona. Where are they? Au kazi yao ni domo domo tu!

5. Nilitegemea kuona chama tawala CCM kutoa fungu lake kwa kuisaidia Serikali, where are they?

6. Nilitegemea kuona Rais akitangaza kukatwa 20% ya salary yake iende kwenye mapambano ya Corona. Where is he? Let’s be honest bhana haya mambo sio ya mchezo. Kama unadhani upo safe, subiri mtu wako wa karibu apate huenda tutakuwa na heshima.

7. Nilitegemea kuona waziri Mkuu na Makamu wa Rais wakifanya the same. Where are they?

8. Nilitegemea kuona wakurugenzi wa taasisi binafsi na za umma wakiomba kukatwa sehemu ya mshahara wao kwa kipindi chote cha Corona ili kusaidia maskini juu ya Corona.
9. Nilitegemea kuona Makanisa na Misikiti ikitoa sehemu ya zile sadaka ambazo hazina kodi kwenda Serikali na kuisaidia Serikali kupambana na Corona. Serikali pekee haiwezi hata ikitaka kuweza na ndio maana Mh Rais anaona wazi kuna hatari ya sisi kufa njaa kama tukifanya lockdown. Big Up John katika hili.

Leo hii manesi wamekosa motisha na kukimbia wagonjwa, sad but true.

Leo hii mawaziri tena madokta wapo busy ku twiti ujinga wao. No one give a damn about anyone else.

May they rotten in hell all of them. And May they die the ugliest death like you have never seen before for as long as they remain selfish.

F****K OFF!
 
hahaha hapo kwenye namba 5 hapo ndo balaa linapoanzia
 
tajiri Mzee SABODO anahitajika
 
Na serikali imetoa kiasi gani? Tunaona nchi nyingine zimetenga bajeti mahsusi nankutoa financial incentives. Serikali kimya!
 

Na huu ndo ukweli 100% tusimlaumu kabisa MO hatujui nyuma ya pazia kakumbana na vitu gani kutoka kwa serikali.
 
Mi naona hata bora hajatoa msaada...... AZIZI watuwanamkejeli kwa zile machine zake

Tz hatuna jema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…