bryan2
JF-Expert Member
- Jun 8, 2016
- 3,323
- 4,679
Nashindwa kuelewa kazi za hawa wasemaji wa Vilabu vyetu vya Tanzania.
Msemaji anasema eti mchezaji X ni sawa na wachezaji 10 wa timu Y Sijawahi sikia msemaji wa PSG au Manchester United akisema Ati Neymar au Pogba ni Sawa na wachezaji hata 5 wa Nice au Newcastle
Ifike mahali Tuendeshe soka letu Kisasa na Sio Uropokaji usio wa maana Namsifu Mkwasa na Msemaji Wa Sasa wa Yanga wakiongea wanaongea mambo ya maana labda Usajili au kitu kingine cha klabu na sio kusemea Timu Nyingine.
Tukutane 23/8/2017...
Sent using Jamii Forums mobile app