Wakati mwingine hawa wasemaji wa Vilabu Vyetu Hebu Waige Wazungu kidogo.

Wakati mwingine hawa wasemaji wa Vilabu Vyetu Hebu Waige Wazungu kidogo.

bryan2

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2016
Posts
3,323
Reaction score
4,679
Nashindwa kuelewa kazi za hawa wasemaji wa Vilabu vyetu vya Tanzania.

Msemaji anasema eti mchezaji X ni sawa na wachezaji 10 wa timu Y Sijawahi sikia msemaji wa PSG au Manchester United akisema Ati Neymar au Pogba ni Sawa na wachezaji hata 5 wa Nice au Newcastle

Ifike mahali Tuendeshe soka letu Kisasa na Sio Uropokaji usio wa maana Namsifu Mkwasa na Msemaji Wa Sasa wa Yanga wakiongea wanaongea mambo ya maana labda Usajili au kitu kingine cha klabu na sio kusemea Timu Nyingine.

Tukutane 23/8/2017...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usiishi kama kitabu wala kukopi
Kwani lazima tufanane na ulaya !?? Sisi tunayo ya kwetu na wako wapambane na hali zao huko ulaya!
 
Nashindwa kuelewa kazi za hawa wasemaji wa Vilabu vyetu vya Tanzania.

Msemaji anasema eti mchezaji X ni sawa na wachezaji 10 wa timu Y Sijawahi sikia msemaji wa PSG au Manchester United akisema Ati Neymar au Pogba ni Sawa na wachezaji hata 5 wa Nice au Newcastle

Ifike mahali Tuendeshe soka letu Kisasa na Sio Uropokaji usio wa maana Namsifu Mkwasa na Msemaji Wa Sasa wa Yanga wakiongea wanaongea mambo ya maana labda Usajili au kitu kingine cha klabu na sio kusemea Timu Nyingine.

Tukutane 23/8/2017...

Sent using Jamii Forums mobile app
Yanga walishaachana na wasemaji wa aina hiyo..

Yanga kwa sasa wanaye Dismas Ten...Anajielewa, yeye anapiga kazi ya kuuhabatisha umma tu..Majigambo amewaachia Manara, Kifaru, Bwire na wengine...

Dismas Ten na Jaffar Idd Maganga wa Azam FC wanajitambua...
 
Uyo Manara ukimjibu kwa mtindo sahihi utaambiwa unamuonea ivyo ni vema kumuangalia tu naona amekomaa kila siku kuizungumzia Yanga ila Dismas kamkaushia tu nadhani ni busara kukaa kimya.
 
Mumzuie na kuwapokeleeni vifaa vyenu kwa wadhamini wa ligi ya VPL.

The Great Gatsby
 
Tutumie lugha za staha kukosoa haidhuru mpinzani kasema nini. Huu ni unyanyapaa kwa walemavu wa viungo, unaopigwa vita popote duniani. Tujizuie jazba, tuchunge ndimi zetu..... Ulemavu unaweza kutokea muda wowote maishani.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ata umasikin Unaweza kumkuta mtu yeyote duniani muhimu ni kuish kwa kuheshimiana bila kujal we wa Aina gan Kama unamkwaza mwenzio kwa maneno makali ya kumuuma yeye pia atafanya hvyo kwako

Umaskini mtu anaweza akapambana akaondokana nao, mifano ipo mingi tu. Albinism unaweza kupambana ukaondokana nayo? Au ulemavu mwingine wowote wa viungo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii inaonyesha jinsi soka letu linavyoendeshwa ndivyo sivyo.hawa wasemaji Wa club wanatakiwa kuwa public relations expert waendeshe web za club magazeti Na majarida ya club Facebook tweeter account Na other social media kutengeneza image nzuri ya club. Ulaya vilabu vina mpaka tv programme ni kazi za hawa watu sio kutwa kuchwa kukashifu vilabu vingine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulemavu wa ngozi unaathiri mpaka uwezo wa kufikiri mkuu
 
Back
Top Bottom