Yale mazuri tunaiga yale mabaya tunawaachia waoUsiishi kama kitabu wala kukopi
Kwani lazima tufanane na ulaya !?? Sisi tunayo ya kwetu na wako wapambane na hali zao huko ulaya!
Yanga walishaachana na wasemaji wa aina hiyo..Nashindwa kuelewa kazi za hawa wasemaji wa Vilabu vyetu vya Tanzania.
Msemaji anasema eti mchezaji X ni sawa na wachezaji 10 wa timu Y Sijawahi sikia msemaji wa PSG au Manchester United akisema Ati Neymar au Pogba ni Sawa na wachezaji hata 5 wa Nice au Newcastle
Ifike mahali Tuendeshe soka letu Kisasa na Sio Uropokaji usio wa maana Namsifu Mkwasa na Msemaji Wa Sasa wa Yanga wakiongea wanaongea mambo ya maana labda Usajili au kitu kingine cha klabu na sio kusemea Timu Nyingine.
Tukutane 23/8/2017...
Sent using Jamii Forums mobile app
Tutumie lugha za staha kukosoa haidhuru mpinzani kasema nini. Huu ni unyanyapaa kwa walemavu wa viungo, unaopigwa vita popote duniani. Tujizuie jazba, tuchunge ndimi zetu..... Ulemavu unaweza kutokea muda wowote maishani.Ulemavu una changia
Ata umasikin Unaweza kumkuta mtu yeyote duniani muhimu ni kuish kwa kuheshimiana bila kujal we wa Aina gan Kama unamkwaza mwenzio kwa maneno makali ya kumuuma yeye pia atafanya hvyo kwakoTutumie lugha za staha kukosoa haidhuru mpinzani kasema nini. Huu ni unyanyapaa kwa walemavu wa viungo, unaopigwa vita popote duniani. Tujizuie jazba, tuchunge ndimi zetu..... Ulemavu unaweza kutokea muda wowote maishani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umaskini mtu anaweza akapambana akaondokana nao, mifano ipo mingi tu. Albinism unaweza kupambana ukaondokana nayo? Au ulemavu mwingine wowote wa viungo?Ata umasikin Unaweza kumkuta mtu yeyote duniani muhimu ni kuish kwa kuheshimiana bila kujal we wa Aina gan Kama unamkwaza mwenzio kwa maneno makali ya kumuuma yeye pia atafanya hvyo kwako
Sent using Jamii Forums mobile app
Some one in the sky iz zooming You ......!Umaskini mtu anaweza akapambana akaondokana nao, mifano ipo mingi tu. Albinism unaweza kupambana ukaondokana nayo? Au ulemavu mwingine wowote wa viungo?
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji6][emoji6][emoji6] nimeona double double kakaSome one in the sky iz zooming You ......!
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app