Magical power
JF-Expert Member
- Sep 27, 2022
- 2,158
- 5,626
Kweli mkuu, be real usihamishe maumivu na hisia mbaya kwa mtu ambae ndio kwanza mnaanza kujuana.Usijipe jukumu la kumfix mtu mkuu..
Kuwa wewe katika uhalisia wako pasipo kufake au kutumia nguvu ya ziada kwa sababu kama ataona jinsi ulivyo ni sababu tosha ya kumfanya asahau aliyoyapitia na kuanza nawe upya. Amini atafanya hivyo lakini kama hauna uzito huo kwake, hata uongeze upendo kiasi gani HUTOWEZA
Ni kweli kaka 🙏🏽Kweli mkuu, be real usihamishe maumivu na hisia mbaya kwa mtu ambae ndio kwanza mnaanza kujuana.