Hope angelikuwa wapi leo kama asingeonwa na Mzungu kutoka Denmark?
Ilitokea huko Nigeria mwaka 2016.
Mzungu kutoka Denmark alimwokota mtoto wa kiume mitaani aliyekondeana sana kwa kukosa huduma muhimu.
Si kwamba huyo mtoto hakuwa na wazazi wa damu, bali alitelekezwa kutokana na shinikizo la Jamii yake ya Nigeria. Pamoja na kuwa alikuwa mtoto mdogo, alituhumiwa kuwa ni mchawi.
Wazazi wake hawakuwa na jinsi isipokuwa kumtupa mitaani akajifilie zake.
Kwa bahati nzuri, "Msamaria" Mwema wa Kizungu alimkuta akiwa amedhoofika sana, akaamua kumtendea kwa upendo.
Alimpa maji ya kunywa na chakula, na kisha kumpeleka hospitalini.
Alipopona, alimuhamishia kwenye makazi ya watoto aliyoyaanzisha mahsusi kwa ajili ya kuwalea watoto wa Nigeria wanaotupwa kwa kuhusishwa na uchawi. Inaonekana huo ni utamaduni wa kawaida kwenye hiyo Jamii.
Hebu fikiria jinsi Waafrika wa huo mji walivyo wakatili!
1. Waliona ni sahihi mtoto mdogo kufa kwa tabu mitaani kwa tuhuma za "kipuuzi?"
2. Hakukuweko na viongozi wa Serikali waliomwona huyo mtoto alkiteseka mitaani?
3. Hakuna viongozi wa dini walioweza kumwona huyo mtoto mitaani na kumwonea huruma?
4. Ingelikuwaje kama huyo Mzungu asingechukua uamuzi wa kumtendea "Hope" kwa upendo? ( Ni huyo Mzungu ndiye aliyempa hilo jina la Hope)
Siyo kila Mzungu ana "roho" nzuri, lakini kuna wengi walio wema kama huyo wa kutoka Denmark. Sasa hivi Hope ana afya nzuri na anaendelea na masomo.
Kwa hiyo, ni sahihi kusema "Mungu mbariki Mzungu aliyemsaidia Hope"
Amini usiamini, hii race ya wazungu ambao tunawapachika mambo mengi mabaya, bado ndio binadamu wenye kiwango cha juu cha upendo ktk jamii ya wanadamu kuliko sisi wenye rangi ya mkaa, ngozi nyeusi ina laana!

Ninaungana na wewe. Kweli wana ubinadamu. Kama siyo wazungu kunisaidia kunipa scholarship nisingekuwa hapa nilipo. Lakini yote ninamshukuru Mungu. Mtoto wangu alitafuta shule huko kwa wazungu na ada ni US$ 80,000 sawa na 200mil TZS. Ni pesa nyingi sana kwa sisi waajiriwa. Mungu mwema wanamlipia shule. Mungu awabariki wazungu.
Hili ni jambo baya na la ajabu sana linalofanywa na hawa tunaoita viongozi wa kiafrica, jamii kubwa ya wananchi wa kiafrika wanapata mlo wao kwa jasho na damu.. huduma za kijamii za hovyo kinyume kabisa na utajiri unaomilikiwa na viongozi wao...ni dhahiri waafrika tunaongozwa na mawakala wa shetani.
Hili ni jambo baya na la ajabu sana linalofanywa na hawa tunaoita viongozi wa kiafrica, jamii kubwa ya wananchi wa kiafrika wanapata mlo wao kwa jasho na damu.. huduma za kijamii za hovyo kinyume kabisa na utajiri unaomilikiwa na viongozi wao...ni dhahiri waafrika tunaongozwa na mawakala wa shetani.
Amini usiamini, hii race ya wazungu ambao tunawapachika mambo mengi mabaya, bado ndio binadamu wenye kiwango cha juu cha upendo ktk jamii ya wanadamu kuliko sisi wenye rangi ya mkaa, ngozi nyeusi ina laana!
Mkuu, unamaanisha nini hasa?
1. Huyo Mdenmark alikosea kumsaidia huyo mtoto kisa kwao kungali kuna watu maskini? Ujue, poverty rate ya Denmark ni chini ya asilimia moja wakati ya Nigeria ni asilimia 40.1
2. Hivi utaulinganisha Umaskini wa mtu wa Afrika na wa Ulaya na Marekani? Kule, watu wasiokuwa na ajira wanapewa posho maalum ya kujikimu, na kwa suala la chakula, wana utaratibu wa kutoa vyakula kwa watu wasiomudu kujinunulia chakula.
Japo bado sijafika Ulaya na Marekani, lakini kwa niliyoyasikia ni kwamba kule si rahisi mtu afe kwa nja. Anaweza akakosa makazi lakini si chakula.
3. Ni kweli, wema huanzia nyumbani! Kwa hiyo na Serikali zao ziache kuzisaidia nchi za Kiafrika kisa raia wa nchi zao bado wana uhitaji? Unajua nchi nyingi za Kiafrika, Tanzania ikiwemo, sehemu ya bajeti zao hutokana na kushikwa mkono na Mataifa ya Magharibi?
Vipi kwa madawa ya kufubaza virusi vya Ukimwi , waache kutoa msaada kwa nchi za Kiafrika?
4. Umeshawahi kukutana na miradi inayotekelezwa hapa Tanzania yenye vibao, "KWA HISANI YA WATU WA MAREKANI?" Unajua inamaanisha nini? Una maoni gani kuhusiana na hilo?
na ww ndo kundi lile lile la waafrika wachawu badala ya kukemea hizi itikadi mbovu ya kuwanyanyasa watoto kisa shutuma za kipuuzi , ww ndo upo busy kutaka kuonesha hata wao ni wabinafsi kama ww
Mtu mweusi ni laana , endelea kuhamasisha ubinafsi wenu huo , watoto wanakufa huku wajinga km nyie mpo busy kusema hata sehem nyingine wanakufa pia badala ya kuwasaidia
Mkuu, unamaanisha huyo mtoto ni masikini? Kama ndivyo, unamtofautishaje na masikini wa Afrika?
Labda hujawahi kukutana na masikini Afrika. Ngoja nikupe utofauti wa huyo mtoto masikini wa Kizungu na wa Kiafrika, hususan mtoto wa Kitanzania:
1. Huyo wa Kizungu amevaa nguo nzuri, lakini wa Kitanzania utamkuta hata mavazi yake hayatamaniki
2. Huyo anakaa kwenye nyumba nzuri, lakini umeshawahi kuyaona makazi ya masikini Tanzania? Hebu nwangalie huyo, amekalia fenicha nzuri, wakati masikini wa Tanzania, wakijitahidi sana, wanaweza wakawa na vigoda vya kuchongwa
3. Huyo ana mwonekano mzuri, lakini wa Kitanzania, japo wana uzuri wa asili, lakini wanaweza wakati mwingine wasitamanike kutokana na uchafu uliokithiri. Unaweza ukamkuta mtoto ana "magamba" mwilini mithili ya samaki kwa sababu ya kutokuoga muda mrefu.
Kwa ufupi, Umaskini wa Mzungu una unafuu sana ukiulinganisha na wa Mwafrika.
Mtu mmoja alishawahi kusema, maisha wanayoyaishi masikini wa Afrika ni "jehanamu" ndogo duniani.