Jana nilipita sehemi kulikuwa na kampeni nafikiri Kwa sababu ya chaguzi za Serikali za mitaa.
Nikasikia mzungumzaji akisema eti Mh Samia ameshindwa kazi Kwa sababu vifo vya kinamama wanayojifungua viongezeka ..nilitamani kumpiga ngumi aisee.
Sasa vifo hivyo Rais anahusikaje Kwa mfano? Maana kifo kinaweza kutokea kwa sababu tatu:
Kuchelewa kufika hospitali kwa Maana ya infrastructures kuwa mbovu
Kuchelewa kutafuta hudumu
Kukosa huduma Bora hospitali.
Sasa unapowalisha sumu watu kwamba Samia ameshindwa kazi Kwa sababu vifo vimeongezeka unakuwa una unazungumzia upande gani katika hivyo vipengele vitatu?
Kuongoza watu ni shida sana