Wakati nchi za EAC zikiunga mkono Azimio la Baraza la Usalama UN kuitaja Urusi kuondoka Ukraine, Tanzania ili-dodge kikao

Hakuna sababu ya kuegemea upande wowote hasa sisi wa Dunia ya tatu hivyo acha wagombane na wapatane wenyewe sisi hatuna nguvu za kiuchumi wala haluna msaada wowotee wataupata hao ambao tutakuwa upande wao.acha tu mute.
 
Habari Wadau.

Wakati Nchi wanachama wa EAC Zikiunga Mkono azimio la Umoja la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuitaka Russia kuondoa Majeshi yake vamizi Nchini Ukraine,Tanzania imekimbia Kikao bila kutokea kwenye upigaji kura.

Kuliko Nchi yetu kuendelea kukimbia vikao vya UN mara kutopoga kura ni Bora ikatoka hadharani na kubainisha msimamo wake rasmi kwenye issue ya Ukraine kwamba inapendelea Russia hata kama haisemi kiuwazi wazi..

Dunia ya Sasa sio ya kuishi kwenye kifungo Cha Kihistoria Cha msimamo wa waasisi Bali ni Dunia ya kuangalia upande wa maslahi.

Viongozi Wetu kutwa kucha kujikomboa Kwa Wazungu na Marekani ila linapokuja suala la Kisiasa wanajificha na kuwa na kigugumizi ambacho ndani yake Kiko upande wa Russia.

Binafsi naona ni mambo ya ajabu kuegemea Russia ambayo Wala Haina Msaada wowote wa maaha hapa Tanzania kulinganisha na West,Sasa ni wakati wa kuwaunga mkono wale wenye maslahi na sisi.

Kuijadili Tanzania ni sawa na kujadili kidevu cha kuku
 
Hatupo upande wowote ndio maana hatukuudhuria kikao
 
Hiyo inaitwa Diplomasia kijana

Kwa maslahi mapana ya taifa ni ujinga kujiegemeza upande mmoja moja kwa moja

Mwanamama Mwafrika, Mtafiti na Daktari Folashade Soule yeye alisema huu mgawanyo wa mabwana wakubwa una faida kubwa sana kwa Afrika

Akashauri mambo matatu mimi nitasema mawili

1. Lazima Afrika iepuke Zero-Sum game
Hayo mambo ya kuchagua upande unayotaka ni us*nge wa hali ya juu sana.
Lazima tutumie mgawanyo wao kutunufaisha

Tukijicommit kwa west tutakosa favor za Urusi, tukijicommit kwa Urusi tutakosa favor za West
Dawa ni kukaa katikati waendelee kutugombania huku tunapata kotekote

Kujicommit na west moja kwa moja ni ufala

2. Afrika lazima tu play them against each other

Pale UN kura yetu ni ya muhimu sana kwahiyo tusijipigie pigie tu eti kisa Kenya kapiga au dunia imepiga
Lazima tujue tunataka nini kama taifa? Na malengo yetu yatatimia tukipiga?

International relations haina morality kwahiyo hisia zako weka chumbani na mkeo

Hapa tunawatumia wao kwa wao ili tujinufaishe

NB: wewe mtoa mada ungekuwa mwanadiplomasia ungekuwa mwanadiplomasia mbaya kabisa na ungeliangamiza taifa letu
 
Ni aibu tupu kwa Taifa linalotegemea kutembeza bakuli.
 
.
Screenshot_20230221-101022.jpg
 
Habari Wadau.

Wakati Nchi wanachama wa EAC Zikiunga Mkono azimio la Umoja la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuitaka Russia kuondoa Majeshi yake vamizi Nchini Ukraine,Tanzania imekimbia Kikao bila kutokea kwenye upigaji kura.

Kuliko Nchi yetu kuendelea kukimbia vikao vya UN mara kutopoga kura ni Bora ikatoka hadharani na kubainisha msimamo wake rasmi kwenye issue ya Ukraine kwamba inapendelea Russia hata kama haisemi kiuwazi wazi..

Dunia ya Sasa sio ya kuishi kwenye kifungo Cha Kihistoria Cha msimamo wa waasisi Bali ni Dunia ya kuangalia upande wa maslahi.

Viongozi Wetu kutwa kucha kujikomboa Kwa Wazungu na Marekani ila linapokuja suala la Kisiasa wanajificha na kuwa na kigugumizi ambacho ndani yake Kiko upande wa Russia.

Binafsi naona ni mambo ya ajabu kuegemea Russia ambayo Wala Haina Msaada wowote wa maaha hapa Tanzania kulinganisha na West,Sasa ni wakati wa kuwaunga mkono wale wenye maslahi na sisi.

READ READ READ
HATA KAMA ANGEKUWEPO KIKAONI, MSIMAMO WA TANZANIA UNAFAHAMIKA SIKU ZOTE NI NON-ALIGNED SO ANGEPIGA KURA YA ABSTAIN (HAPO IMEANDIKA ABSTENTION)
SOMA KIDOGO KABLA YA KU-COPY-PASTE HUMU
 
Tuwe makini na Nchi zilizochukua upande wa WEST, mashinikizo yanayoendelea yanalengwa kupata uungwaji mkono wa Dunia Ili kuipiga Russia.

Tukifika huko, tunaweza shambuliwa kupitia Nchi majirani zetu walichukua upande.

Msimamo wa Tanzania ndo msimamo wa Africa.

Tunatakiwa tuwe na DOLA ya Africa.
 
Back
Top Bottom