Uislamu umevamiwa na Maislamists ambayo yanaongozwa na Katiba na Mikakati ya Muslim Brotherhood (MB). Hawa jamaa hawana interest ya kuwafikisha waislamu Ahera, bali wao interest yao ni Islamic Conquest ya Jamii nyingine ambazo si za Kiislamu.
Aidha, hatima ya yote wanataka kusimamisha Dola ya Kiislamu. Walianzia Egypt ambapo walikuja kupigwa marufuku na kufukuzwa wakati wa Abdel Nassar. Wakakimbilia Saudi Arabia ambako wakachochea Wahabbism. Ufalme wa Saudia ulipong'amua kwamba itikadi yao ni tishio la ufalme huo, waliwafukuza pia.
Ndipo wakakimbilia nchi za Magharibu ambako wamestawi sana kutokana na siasa za kiliberali zinazoruhusu pia uhuru wa kuabudu. Kwa sasa MB na wafuasi wao Maislamists wamefanya ushirika wa kishetani na vyama vya siasa za mrengo wa kushoto (mfano: Democrat-USA; Labour Party-UK & Australia). Wafandhili wao ni Qatar, Iran na Turkey.
Lengo lao hawa islamists hawalifichi; kwamba kuchukua hatamu ya utawala katika nchi hizo. (Video clips ni nyingi tu zinazoonyesha hilo) Aidha, wamewarubuni wahadhili na wanafunzi wa vyuo vikuu kufuata siasa zao, kwa kisingizio cha haki za Wapalestina.
Wanafanya kazi ya ziada kupitia ufadhili wa Qatar na Iran ili washike mamlaka za kisiasa; mfano halisi ni Zohran Mamdan kushinda Umeya wa Newyork.
Kama hilo halitishi sasa wameamua hata kuvuruga Sherehe za watu wa magharibi mfano Christmas. Ona kwenye video ambao wakati wenzao wako kwenye shamrashamra za kukaribisha Christmas Islamist anakuja na kuimba Quran zake.