Anonymous Caller
JF-Expert Member
- Sep 8, 2016
- 679
- 870
Sijui ni inferiority au ni kukosa uthubutu.
Nimekuwa nikishangazwa na TFF kuendelea kung'ang'ania michezo ya kirafiki na mataifa yaleyale kama Burundi, Malawi, Kenya sijui Ethiopia kila kukicha.
Sibezi uwezo wa nchi hizi isipokuwa ifike mahali tutafute exposure na uzoefu mpya toka sehemu zingine duniani.
Hawa akina Sudan sijui Benin tumeshacheza nao mno sio rahisi kupata chochote kwao kama ilivyo vgumu hata na wao kupata lolote toka kwetu. Tutoke nasisi huko duniani ili kupata confidence kama wanavyofanya wenzetu.
Tusikaririshane kuwa nchi zote za ulaya au kwingineko zimetuacha mbali sana kisoka, huo ni uoga.
Nachokiamini Mimi ni kwamba;hata huko ulaya zipo nchi ambazo kiuhalisia ama hazipishani au zinafanana na Tanzania kisoka.Ni size yetu. Tunaweza kupambana Nazo popote bila kupata matokeo ya aibu.
Nchi kama Estonia, Lithuania, Moldova, Cyprus, Georgia, Albania , berarus, Iceland,Armenia hata Finland haziwezi kuifanya Tanzania chochote.Tunaogopa bure.
Hata kule America bado wapo akina Jamaica Honduras Panama Costa Rica au Venezuela nao sioni cha ziada sana kuibabaisha Tanzania kisoka. Kwanini tusianze na hawahawa?
Leo hii wenzetu Kenya wameifuata urusi kwao ktk friendly match.Majuzi DRC walicheza na Newzealand na kutoa safe kwao
Na kama tatizo ni umbali sio lazima waje au tuwafuate; bado tunaweza kukutana nao kwenye uwanja huru.
Hivi karibuni sept 2023 Kenya waliwafuata Qatar huko Doha na kushinda kwenye ardhi yao 1-2
Mfano mwingine tena wa karibu,ni Uganda. Mwaka 2017 Uganda walienda nchini Slovakia na kuwafunga wenyeji 1-3.sisi tunaogopa nini?
Haya Uganda hiyohiyo mwaka Jana wakiwa ugenini walidro na Iceland 1-1.
Zambia walicheza na Israel kwao na kufungwa 4-2.
Ethiopia wao waliifunga Guyana 2-0 ugenini
Moja kati ya vitu vinavyoigharimu timu yetu ni kukosa kujiamini inapocheza na timu zenye majina makubwa hata kama wakti Fulani hazina lolote.
jambo hili huwasababishia wacheze ovyo hasa wakiwa ugenini na kufungwa magoli ya mapema (rejea mechi zao)
Ushauri wangu kwa TFF waombe mialiko mingi nje ya ardhi ya Tanzania hasa ulaya au America ili kuwapa wachezaji wetu exposure na composure wakiwa ugenini.