Wakati Nigeria ikitengeneza $3.7bn, South Africa $ 1.7 bn kwa mwaka kwa kilimo halali cha bangi, Mwigulu na Samia wanazidi kuwakamua ' Damu' Wa- Tz.

Wakati Nigeria ikitengeneza $3.7bn, South Africa $ 1.7 bn kwa mwaka kwa kilimo halali cha bangi, Mwigulu na Samia wanazidi kuwakamua ' Damu' Wa- Tz.

Rwebo

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2015
Posts
1,418
Reaction score
1,820
Wakuu, nadhani kila mmoja wetu humu anaumia au amesikia kilio cha kila Mtanzania hasa baada ya kuanzisha tozo kila tunapotoa pesa kwenye account zetu aidha kwenye counter au ATM.

Viongozi wetu Sasa hivi hawafikilii nje ya box au tuseme wamefikia mwisho wa kufikiria. Sasa hivi watanzania tulio wengi tunapotoa kipindi kigumu sana kiuchumi, kila kitu kimepanda bei.

Wakati viongozi wetu wakitukamua damu kwa tozo wenzao wa Nigeria, South Africa, Zimbabwe, Morocco, Malawi nk wameamua kulima bangi kwa matumizi ya matibabu.

Hii ni biashara inayozidi kushamiri duniani na SOKO lipo linahitaji saana bangi ili itengeneze dawa hasa za maumivu nk. Mbunge wetu Jumanne Kishimba aliwahi kushauri serikali I ruhusu kilimo cha bangi watu wakamcheka. Sasa angalia nchi zilizochukua fursa hiyo wanavyo piga pesa kihalali.

Mwigulu na Samia hizo tozo za Bank mtazikosa sababu sisi maskini tumeanza kutumia vibubu vyetu visivyo na tozo. Ndiyo maana Prof. Wajakockoyah kwenye uchaguzi uliopita Kenya aliingia na gear ya bangi kuruhusiwa chini ya utawala wake naamechukua nafasi ya tatu.

Mwigulu unatuumiza sana Watanzania ujumbe kwa Mama nasema ' Na hilo mliangalie'.
 
Wakuu, nadhani kila mmoja wetu humu anaumia au amesikia kilio cha kila Mtanzania hasa baada ya kuanzisha tozo kila tunapotoa pesa kwenye account zetu aidha kwenye counter au ATM. Viongozi wetu Sasa hivi hawafikilii nje ya box au tuseme wamefikia mwisho wa kufikiria. Sasa hivi watanzania tulio wengi tunapotoa kipindi kigumu sana kiuchumi, kila kitu kimepanda bei. Wakati viongozi wetu wakitukamua damu kwa tozo wenzao wa Nigeria, South Africa, Zimbabwe, Morocco, Malawi nk wameamua kulima bangi kwa matumizi ya matibabu. Hii ni biashara inayozidi kushamiri duniani na SOKO lipo linahitaji saana bangi ili itengeneze dawa hasa za maumivu nk. Mbunge wetu Jumanne Kishimba aliwahi kushauri serikali I ruhusu kilimo cha bangi watu wakamcheka. Sasa angalia nchi zilizochukua fursa hiyo wanavyo piga pesa kihalali. Mwigulu na Samia hizo tozo za Bank mtazikosa sababu sisi maskini tumeanza kutumia vibubu vyetu visivyo na tozo. Ndiyo maana Prof. Wajakockoyah kwenye uchaguzi uliopita Kenya aliingia na gear ya bangi kuruhusiwa chini ya utawala wake naamechukua nafasi ya tatu. Mwigulu unatuumiza sana Watanzania ujumbe kwa Mama nasema ' Na hilo mliangalie'.
Mifano ya Nchi za Hovyo na ambazo sio tuu hakuna usalama huko bali wanaongoza kwa unemployment rate..

Hatujaishiwa vyanzo Hadi kufikia kuuza bangi ambayo ni kinyume na maadili ya Tanzania.👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220819-104418.png
    Screenshot_20220819-104418.png
    103.3 KB · Views: 11
Back
Top Bottom