Wakati Nyumba yake ikipigwa mnada, Jide ala bata China

Wakati Nyumba yake ikipigwa mnada, Jide ala bata China

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Wakati habari ya mjini ikiwa ni kuhusiana na nyumba yake kupigwa mnada , staa wa Bongo Fleva , Judith Wambura ' Lady Jaydee ' au ' Jide ' yupo bize jijini Hong Kong , China akila bata.

Mwishoni mwa wiki iliyopita , Kampuni ya Udalali ya MEM Auctioneers and General Brokers ilipewa jukumu la kupiga mnada nyumba ya mwanamuziki huyo iliyopo Mivumoni , Kinondoni jijini Dar baada ya Jide kushindwa kulipa deni alilokopa kutoka taasisi ya fedha ya EFC Tanzania Limited .

Wanahabari wetu waliokuwa na kibarua cha kumtafuta Jide ili kujua anazungumziaje kuhusu nyumba hiyo kupigwa mnada , walizunguka kwenye viunga lukuki vya Dar ambavyo mwanamuziki huyo huwa anapatikana lakini jitihada hazikuzaa matunda , achilia mbali simu yake ya mkononi kutopatikana.

Wakati gazeti hili likielekea mitamboni, chanzo kimoja kilipenyeza habari kuwa staa huyo wa Wimbo wa Yahaya yupo nchini China ' anakula ujana'.

"Kwa taarifa yenu Jide hayupo Bongo , ametimka zake China kula raha kama vipi fuatilieni kwa mbinu zenu mtabaini hiki ninachowaeleza, " kilinyetisha chanzo chetu , Jumamosi iliyopita .

Kabla ya kuwadadisi wadau wengine wa karibu wa Jide , Ijumaa Wikienda liliingia kwenye ' peji' ya Instagram ya mwanamuziki huyo na kukutana na posti iliyoonesha kuwa yupo Dubai akielekea nchini China kuinjoi maisha.

"Dubai - Hong Kong leo nimetoa ushamba sikujua mpaka ndege ikipaa kuna WiFi (huduma ya intaneti) tembea ujionee , " aliandika Jide.

Alipotafutwa Gardner G. Habash ambaye alikuwa mume wa Jide alisema kwa kifupi kuwa hana taarifa zozote kuhusiana na nyumba hiyo kupigwa mnada.

Chanzo: GPL
 
Attachments

  • 1436939867809.jpg
    1436939867809.jpg
    41.8 KB · Views: 2,076
warumi achana na bata za jide.....

Umepita instagram??????

Abdul Nsembo amtishia Mange Kimambi bastola......

Adai kumiliki kituo cha polisi oysterbay...... na atasaidiwa na mgombea uraisi aliyeingia tano bora ccm..jan makamba kumkomesha mange

Kisa sembeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Nikiripoti laivu kutoka insta ya mange....
 
Attachments

  • 1436965408534.jpg
    1436965408534.jpg
    43.7 KB · Views: 1,617
  • 1436965469961.jpg
    1436965469961.jpg
    76.2 KB · Views: 1,501
  • 1436965559943.jpg
    1436965559943.jpg
    79.8 KB · Views: 1,480
  • 1436965652828.jpg
    1436965652828.jpg
    69.8 KB · Views: 1,481
Last edited by a moderator:
warumi achana na bata za jide.....

Umepita instagram??????

Abdul Nsembo amtishia Mange Kimambi bastola......

Adai kumiliki kituo cha polisi oysterbay...... na atasaidiwa na mgombea uraisi aliyeingia tano bora ccm..jan makamba kumkomesha mange

Kisa sembeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Nikiripoti laivu kutoka insta ya mange....

Duuuuh hii sura ngumu hatari yani ukiwa unampiga mechi akikuangalia steam zinakata.....utafikiria masudi sura mbaya kweli huyo mzungu anakaa n zombi
 
Last edited by a moderator:
Duuuuh hii sura ngumu hatari yani ukiwa unampiga mechi akikuangalia steam zinakata.....utafikiria masudi sura mbaya kweli huyo mzungu anakaa n zombi
Habari za uhakika ni kwamba Mange kapigwa jana sasa hawezi kusema adharani kapigwa kaona aongeze katishiwa kuuwawa ha ha ha haa nikipata more updates nitawaletea hapahapa lakini ukweli ndii huo na I swear nilijua hicho kimama kiongo hata hapa nilisema. Karibu bongo Mange mie sitaki wakuue nataka wakutie kilema tu ili usisahau maishani mwako umezidi kutukana watu mshenzi wewe
 
Mkuu tunasubiri updates za hilo saga....wakavunje hiyo miguu kma fito
 
Kwa sasa Jide yuko Switzerland akiendeleza bata batani
 
Kweli hujasafiri siku nyingi dada,huduma ya internet kwenye ndege za Emirates ni ya mda mrefu sasa..
 
unasema wivu..hutaamini,mwenzako jide anasubiria cha juu baada ya nyumba ake kuuzwa ili apate nauli ya kurudi otherwise atatafuta bajaji imlete Bongo..?!
 
Jide anaelewa mchezo mzima.hataki pasu kwa pasu na kilimanjaro.teh!
 
Back
Top Bottom