Sijapewa username bado
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,775
- 2,891
Wakati akizungumza na Clouds 360 leo Septemba 15, 2025 , Rais wa TLS Boniphace Mwabukusi ameeleza kuwa mabadiliko makubwa yanayotakiwa kufanyika nchini ni kubadili jeshi la polisi namna yake ya ufanyaji kazi.
Haya yanajiri katika siku ambayo polisi wanaendelea kuwapiga wananchi waliohudhuria kesi ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu leo Septemba 15, 2025.
Mwana JF mwenzangu wewe unatambani mbadiliko gani mengine ya kufanywa katika jeshi la Polisi Tanzania.
===
"Jeshi la polisi linatakiwa lifumuliwe lote. Lile linafumuliwa linatakiwa lianze upya kabisa na lipunguziwe majukumu. Baadhi ya majukumu yaondolewe polisi, mfano majukumu ya upelelezi yaondoke na tulibadili lisiwe jeshi iwe polisi service.
Tuboreshe mitaala yao ikiwemo elimu za saikolojia na social work, ndiyo tuweke mkazo hata kuliko kwenda CCP ni bora tuwapeleke chuo cha ustawi wa ujamii, polisi wawe wanatumia muda mrefu chuo cha ustawi wa jamii. Tusiwe na hawa polisi waliofundisha kulenga kichwa tu." - Boniphace Mwabukusi, Rais TLS