kandamatope
JF-Expert Member
- May 19, 2018
- 589
- 630
Africa tumepata majanga makubwa sana na ya kutia hofu,
TB, kipindu pindu, dengue, sulua,HIV,
Na vita juu vya wenyewe kwa wenyewe
Lakini mbaka leo tunadunda
Tume tengenezewa hofu kubwa kuhusu corona kuliko uwalisia wenyewe
Tokea corona imeanza mbaka leo nani kafa Kenya, Uganda, tanzania
Likitokea jambo lolote baya duniani likawagusa wazungu basi sisi sote tunakuwa mashakani
Wazungu ndio wanakufa kwa corona sisi tufanye kazi
Hata sisi tulikufa na TB, EBOLA, Dengue na MALARIA wao wazungu walikuwa wanafanya kazi..
Watanzania fanyeni kazi corona sio tishio Africa
Sent using Jamii Forums mobile app