Wakati Rais wa Yanga SC Hersi, Msemaji Kamwe na Mhamasishaji Manara wakidanganya fundi Zahera asema ukweli wake

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
"Al Hilal FC ilikuwa ni mfupa mgumu kwetu Yanga SC. Wachezaji wa Yanga SC wanadanganywa na igi nyepesi ya Tanzania. Yanga SC wangecheza kwa intensity kubwa kama wa Azam FC, ile Mechi ya Sudan tungeshinda. Wachezaji wa Yanga SC wajifunze kujitoa kwa ajili ya Klabu. Mchezaji kama Bernard Morrison huwa hakabi na hachezi muda mwingi, sijui kwanini huwa anaanza", Mwinyi Zahera mdau wa Yanga SC na aliyewahi kuwa Kocha Mkuu Yanga SC.

Msikilizeni sasa EFM Sports Headquarters akitema cheche zake. Jamaa ni mkweli kabisa na siyo mnafiki na muoga.

Na ninavyowajua Watanzania wasivyopenda kuambiwa ukweli, huyu Mwinyi Zahera sasa hivi ataletewa Zengwe Yanga SC na kutengwa kabisa.
 
Oya kumbe nawe unasikiliza Sports HQ

Nimecheka sana kumsikia Zahera akiponda perfomance ya Yanga wakati mashabiki na vionhozi wao walikuwa wakijifariji kuwa wamecheza vizuru

Zahera anasema Azam walicheza vizuri na kimbinu zaidi kuliko Yanga

Msisitizo wangu kwa mashabiki wa Yanga ni kwamba haya maneno yangesemwa na mchambuzi kama Jemedari wengi mngetoa maneno ya kashfa kwa kuda mtu ambaye anachuki na Yanga, vipi na Zahera naye ambaye huwa mnamualika kwenye technical bench naye anachuki na Yanga?
 
Huyo ana kunyonga kama mashabiki wa Simba wanaoumizwa na rekodi ya Yanga humu nchini kwa sasa ikiwemo wao kufungwa mfululizo.
Mkuu Siku hizi umekumbwa na nini mbona Uchangiaji wako wa Mada hapa JamiiForums umekuwa ni wa Kipumbavu na Kiuwendawazimu mno?

Vipi huna Hela na labda Shemeji ( Mkeo ) amekukimbia hivyo sasa uko Stressed na Frustrated sana?
 
Hakuna Kipindi chochote cha Michezo katika Redio zote Kubwa za Tanzania ( hasa Dar es Salaam ) ambacho sisikilizi.
 
Mkuu Siku hizi umekumbwa na nini mbona Uchangiaji wako wa Mada hapa JamiiForums umekuwa ni wa Kipumbavu na Kiuwendawazimu mno?

Vipi huna Hela na labda Shemeji ( Mkeo ) amekukimbia hivyo sasa uko Stressed na Frustrated sana?
Mkuu, tulishaambiwa kuwa, Mwana Yanga, hata awe msomi wa kiwango cha hali ya juu, likija suala lihusulo YANGA YAKE, anakuwa HAMNAZO!
Hata wale wawili tulio ambiwa kuwa wao pekee ndio wenye akili, walipewa heshima hiyo kutokana na aliyeyasema hayo, kuwaheshimu tu! Hata wao, wasikilize wakiongelea suala la YANGA YAO, nao wanashangaza!
 
Sasa hivi mtampongeza na kumsifia sana Mwinyi Zahera. Tarehe 23 mkifungwa, hasira zote wanahamishiwa wachezaji, makocha, na CEO!
 
Bora kikwete huwa anawachana ukweli unaoumiza
 
Mkuu Siku hizi umekumbwa na nini mbona Uchangiaji wako wa Mada hapa JamiiForums umekuwa ni wa Kipumbavu na Kiuwendawazimu mno?

Vipi huna Hela na labda Shemeji ( Mkeo ) amekukimbia hivyo sasa uko Stressed na Frustrated sana?
Genta kwani umesahau kuwa sifa ya kuwa mwanayanga ni kuwa juha? Mwache aogelee kwenye upumbavu wake
 
Hapa umeongelea ushabiki nakubali. Labda urejebishe kichwa cha habari. Kumuita Zahera fundi hata wewe unajua siyo sahihi. Mwinyi Zahera ni kocha mbovu wa kigeni aliyeajiriwa na timu kubwa akashindwa kuendana na ukubwa wa timu. Yanga walimpa Kila alichohitaji ikiwa ni pamoja na kupendekeza Wachezaji wa kusajili. Kocha fundi hawezi kusajili Kindoki na Molinga. Wewe mwenyewe ulimkataa Maki sababu ya usajili wa Dejan na Outara. Aina ya watu unaowasajili inaonyesha uwezo wako mdogo.
 
Huoni aibu kusema Zahera ni kocha mbovu? Huyu si ndio aliwafanya mkavaa viboksa mpaka mbele ya wakwe zenu kama mnavyotikisa matiti mbele zao sasa?
 
Huyo ana kinyongo kama mashabiki wa Simba wanaoumizwa na rekodi ya Yanga humu nchini kwa sasa ikiwemo wao kufungwa mfululizo.
😁Kiukwel sisi Simba tupo tayari mtufunge kila msimu lakini tufike robo fainal caf
 
Zaehera sio kocha mbovu, alikuwa ana hudumu Yanga iliyo mbovu

Nabi angekuwa ana manage kile kikosi cha Zahera asingeweza kufika hapa alipo

Zahera akipewa hiki kikos anaweza kufanya makubwa ambayo hamkuyaona kwenye management ya Nabi
 
Hivi wakati Zahera yupo Yanga si ndiyo wakati ule Yanga ilikuwa inatembeza bakuli viwanjani? Iliwezaje kumpa kila alichohitaij wakati walikuwa hohe hahe?
Ilifika wakati Mwingi Zahera alitoa hela yake kuwalipa wachezaji posho. Huyu anachanganya mafaili, Zahera alikuwa Yanga kipindi cha waya mkali
 

Zahera ndiye alimsajili faisal salum pia, na makambo akiwa kwenye ubora wake

Zahera aliikuwa kocha muda mrefu kipindi yanga maskini sana haiwezi kulipa hata mishahara..

Msimu ambao gsm ndio ameanza kuingia yanga.. ndio msimu ambao zahera alifukuzwa akiwa kocha wa mechi chache za huo msimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…