GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
"Al Hilal FC ilikuwa ni mfupa mgumu kwetu Yanga SC. Wachezaji wa Yanga SC wanadanganywa na igi nyepesi ya Tanzania. Yanga SC wangecheza kwa intensity kubwa kama wa Azam FC, ile Mechi ya Sudan tungeshinda. Wachezaji wa Yanga SC wajifunze kujitoa kwa ajili ya Klabu. Mchezaji kama Bernard Morrison huwa hakabi na hachezi muda mwingi, sijui kwanini huwa anaanza", Mwinyi Zahera mdau wa Yanga SC na aliyewahi kuwa Kocha Mkuu Yanga SC.
Msikilizeni sasa EFM Sports Headquarters akitema cheche zake. Jamaa ni mkweli kabisa na siyo mnafiki na muoga.
Na ninavyowajua Watanzania wasivyopenda kuambiwa ukweli, huyu Mwinyi Zahera sasa hivi ataletewa Zengwe Yanga SC na kutengwa kabisa.