denooJ
JF-Expert Member
- Mar 31, 2020
- 18,509
- 68,228
Yanga walimpa Zahera kila alichohitaji au kinyume chake?Hapa umeongelea ushabiki nakubali. Labda urejebishe kichwa cha habari. Kumuita Zahera fundi hata wewe unajua siyo sahihi. Mwinyi Zahera ni kocha mbovu wa kigeni aliyeajiriwa na timu kubwa akashindwa kuendana na ukubwa wa timu. Yanga walimpa Kila alichohitaji ikiwa ni pamoja na kupendekeza Wachezaji wa kusajili. Kocha fundi hawezi kusajili Kindoki na Molinga. Wewe mwenyewe ulimkataa Maki sababu ya usajili wa Dejan na Outara. Aina ya watu unaowasajili inaonyesha uwezo wako mdogo.
Zahera ndie aliifanya Yanga ika perform zaidi ya uwezo wa wachezaji kwasababu aliwapa motisha za kila aina.
Zahera alikuwa anatoa pesa zake mfukoni kuwalisha wachezaji wa Yanga, mpaka anaondoka alikuwa anaidai klabu sijui kama walishamlipa.