Wakati Rais wa Yanga SC Hersi, Msemaji Kamwe na Mhamasishaji Manara wakidanganya fundi Zahera asema ukweli wake

Wakati Rais wa Yanga SC Hersi, Msemaji Kamwe na Mhamasishaji Manara wakidanganya fundi Zahera asema ukweli wake

Hapa umeongelea ushabiki nakubali. Labda urejebishe kichwa cha habari. Kumuita Zahera fundi hata wewe unajua siyo sahihi. Mwinyi Zahera ni kocha mbovu wa kigeni aliyeajiriwa na timu kubwa akashindwa kuendana na ukubwa wa timu. Yanga walimpa Kila alichohitaji ikiwa ni pamoja na kupendekeza Wachezaji wa kusajili. Kocha fundi hawezi kusajili Kindoki na Molinga. Wewe mwenyewe ulimkataa Maki sababu ya usajili wa Dejan na Outara. Aina ya watu unaowasajili inaonyesha uwezo wako mdogo.
Yanga walimpa Zahera kila alichohitaji au kinyume chake?

Zahera ndie aliifanya Yanga ika perform zaidi ya uwezo wa wachezaji kwasababu aliwapa motisha za kila aina.

Zahera alikuwa anatoa pesa zake mfukoni kuwalisha wachezaji wa Yanga, mpaka anaondoka alikuwa anaidai klabu sijui kama walishamlipa.
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Hapa umeongelea ushabiki nakubali. Labda urejebishe kichwa cha habari. Kumuita Zahera fundi hata wewe unajua siyo sahihi. Mwinyi Zahera ni kocha mbovu wa kigeni aliyeajiriwa na timu kubwa akashindwa kuendana na ukubwa wa timu. Yanga walimpa Kila alichohitaji ikiwa ni pamoja na kupendekeza Wachezaji wa kusajili. Kocha fundi hawezi kusajili Kindoki na Molinga. Wewe mwenyewe ulimkataa Maki sababu ya usajili wa Dejan na Outara. Aina ya watu unaowasajili inaonyesha uwezo wako mdogo.
Mwongo. Zahera akiwa kochi yanga ndio wakati utopolo mulikuwa mnatembeza bakuli. Ilfika hatua mnashindwa kusajiri yeye ndio alikuwa analeta wachezaji wa mali kauli mpka kufikia kugawana nao posho zake.

Pili angekuwa hana ufundi kwa nn mmemoa ukurugenzi wa ufundi hapo yanga?
 
Mkuu Siku hizi umekumbwa na nini mbona Uchangiaji wako wa Mada hapa JamiiForums umekuwa ni wa Kipumbavu na Kiuwendawazimu mno?

Vipi huna Hela na labda Shemeji ( Mkeo ) amekukimbia hivyo sasa uko Stressed na Frustrated sana?
Jamaa yuko Frustrated mnoo.
 
Mkuu Siku hizi umekumbwa na nini mbona Uchangiaji wako wa Mada hapa JamiiForums umekuwa ni wa Kipumbavu na Kiuwendawazimu mno?

Vipi huna Hela na labda Shemeji ( Mkeo ) amekukimbia hivyo sasa uko Stressed na Frustrated sana?
Huo ndio uwezo halisi wa akili yake

Mwanzo alikuwa anaigia points kwa mtu ambaye hawapo nae karibu kwasasa.
 
"Al Hilal FC ilikuwa ni mfupa mgumu kwetu Yanga SC. Wachezaji wa Yanga SC wanadanganywa na igi nyepesi ya Tanzania. Yanga SC wangecheza kwa intensity kubwa kama wa Azam FC, ile Mechi ya Sudan tungeshinda. Wachezaji wa Yanga SC wajifunze kujitoa kwa ajili ya Klabu. Mchezaji kama Bernard Morrison huwa hakabi na hachezi muda mwingi, sijui kwanini huwa anaanza", Mwinyi Zahera mdau wa Yanga SC na aliyewahi kuwa Kocha Mkuu Yanga SC.

Msikilizeni sasa EFM Sports Headquarters akitema cheche zake. Jamaa ni mkweli kabisa na siyo mnafiki na muoga.

Na ninavyowajua Watanzania wasivyopenda kuambiwa ukweli, huyu Mwinyi Zahera sasa hivi ataletewa Zengwe Yanga SC na kutengwa kabisa.
😁😁 ila mwinyiii zahera daah
 
Back
Top Bottom