Wakati Rais wa Yanga SC Hersi, Msemaji Kamwe na Mhamasishaji Manara wakidanganya fundi Zahera asema ukweli wake

Yanga walimpa Zahera kila alichohitaji au kinyume chake?

Zahera ndie aliifanya Yanga ika perform zaidi ya uwezo wa wachezaji kwasababu aliwapa motisha za kila aina.

Zahera alikuwa anatoa pesa zake mfukoni kuwalisha wachezaji wa Yanga, mpaka anaondoka alikuwa anaidai klabu sijui kama walishamlipa.
 
Reactions: Tui
Mwongo. Zahera akiwa kochi yanga ndio wakati utopolo mulikuwa mnatembeza bakuli. Ilfika hatua mnashindwa kusajiri yeye ndio alikuwa analeta wachezaji wa mali kauli mpka kufikia kugawana nao posho zake.

Pili angekuwa hana ufundi kwa nn mmemoa ukurugenzi wa ufundi hapo yanga?
 
Mkuu Siku hizi umekumbwa na nini mbona Uchangiaji wako wa Mada hapa JamiiForums umekuwa ni wa Kipumbavu na Kiuwendawazimu mno?

Vipi huna Hela na labda Shemeji ( Mkeo ) amekukimbia hivyo sasa uko Stressed na Frustrated sana?
Jamaa yuko Frustrated mnoo.
 
Mkuu Siku hizi umekumbwa na nini mbona Uchangiaji wako wa Mada hapa JamiiForums umekuwa ni wa Kipumbavu na Kiuwendawazimu mno?

Vipi huna Hela na labda Shemeji ( Mkeo ) amekukimbia hivyo sasa uko Stressed na Frustrated sana?
Huo ndio uwezo halisi wa akili yake

Mwanzo alikuwa anaigia points kwa mtu ambaye hawapo nae karibu kwasasa.
 
😁😁 ila mwinyiii zahera daah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…