herikipaji
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 1,198
- 1,369
Wanalipia kusoma practical based lakini wanafundishwa na kupimwa mitihani katika theory, sasa tume inahitaji nini zaidi?Hoja zako ni za msingi naona.
1. Ufundishwaji utoke Theory uwe practical
2. Fairness ya mitihani
3. Usahihishaji wa mitihani.
4. Assessment in General iwe realistic not business oriented. Lets hope Tume ita leta vitu vizuri. Tiyari naona kelele zimesaidia nafasi za kazi LST zilitangazwa.
Kuanzia hapo tu utaona hawa wanahitaji wawajibishwe vikali.kwanini wanafundishwa matheory tu sasa kuna faida gani kupitia tena law school baada ya chuo?
Kwanini wanaendelea na ratiba ya mitihani kipindi tume bado haijatoa ripoti kwa uma, uma unasubiri.