Wakati Ronaldo akipata tuzo ya mchezaji bora, Sanamu la Messi lavunjwa Argentina

Nadhani unadanganya. Hili sanamu liliwekwa baada ya mashindano na walikuwa wakimtukuza na ilikuwa njia mojawapo ya kumtia moyo arudi timu ya taifa wakati amejitoa.

Naona unatumia uongo ili kupoza moyo wako, pole sana
 
Ni aibu kusema Mess Kachukua 8 halafu CR7 Kachukua 5 Laliga. Msisahau Ronaldo kaazia England, yaani hizo 8 za Mess ni kwa maisha yake yote ya mpira. Mnajifariji sana.

Haya ebu fikiria Ronaldo angeanzia Spain angechukua ngapi? Wakati anakuja Spain Mesi alikuwa kachukua ngapi?

Mashabikivwa nchi yake wenyewe wamemuona anazingua nabwameamua kuvunja sanamu lake, nyie ambao wengine hamjapanda hata ndege hamlali kumtukuza mwizi huyo mkwepa kodi, haya bwana....
 
Em tumalize utata tangu 2009-2016 Ronaldo amechukua la liga ngapi na messi amechukua ngapi? Ukipata jibu nijuze
 
Reactions: PNC
Rekebisha hapo penaldo hana la liga 5 ana la liga moja tu
 

Attachments

  • IMG_20170113_122546_940.JPG
    20.4 KB · Views: 23
Reactions: PNC
mkuu mbona unarukaruka
huyo penado kachukua 5 nini?

au unaota
 
Me sijakuelewa unapima uwingi wa team au mafanikio?kwa sababu kuna wachezaji wamecheza nyingi kushinda huyo Gaynardo unayemsema
Ni mgumu kuelewa na ndio maana unalinganisha vitu bila kuzingatia parameters ,mafanikioa ya mtu ni jinsi anvyoweza ku-overcome challenges mbalimbali,hivi baba akiwa na garage nyumbani na motto akaja kuwa fundi utashangaa? Ronaldo kajitupa msituni kupambana na katoka,messi yuko zoo miaka yote.
 
Effect of penaldo
 

Attachments

  • IMG_20161125_075911_925.JPG
    27.5 KB · Views: 26
Reactions: PNC
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…