Wakati Sabaya anafanya ujambazi, Polisi wa Hai, Arusha na Kilimanjaro intelijensia yao haikubaini viashiri vyovyote?

mr mkiki

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2016
Posts
5,588
Reaction score
11,668
Wakati Sabaya anafanya Ujambazi Polisi HAI,Arusha na Kilimanjaro intelijensia yao haikubaini viashiri vyovyote?

Kuna matukio mengine najaribu kutafakari naona kabisa KATIBA YETU kwa wakati huu lazima tufanye mabadiliko , hili jambo kuna upande wataliona kama ni siasa lakini kwa afya ya nchi hili ni jambo ni njema.

Kuna kitu kinaitwa political will; hapo ndio utajua nguvu ya siasa na wanasiasa; kuna viongozi Nchi hii leo hii ukiwaambia DCI na Takukuru iwachunguze wataenda kuozea jela; ila kuna political will ya kufanya maamuzi hayo, lakini kwa KATIBA YETU hii hakuna kitu.

Maana viongozi wote ndani ya CCM hawana political will sasa ni muda wa kutumia KATIBA na kuwapa nguvu Bunge, Mahakama na kupunguza mamlaka kwa Rais! Hapa wanaweza kutokea wajinga kuuliza kwani KATIBA ndio inaleta barabara n.k?

Kila siku nasema majibu kama haya ni zao la UVCCM maana kama wameweza kukaa na Wabunge 60+ hawalipi kodi kwenye mishahara yao , hapa utapata majibu ni jamii gani ipo ndani ya CCM.

Akili kubwa tunaweza kujadili hili.

Mr mkiki.
 
Polisi wamefunga alarm kwenye mambo yanayohusu Chadema pekee.

Tulishuhudia score board ya Ubalozi wa Ufaransa ikisoma 4 - 1, hii ni kwa sababu alarm zao zina kazi maalumu tu
 
viatu nivyikubwa na havimtoshi mvaaji

wakati umeondoka niliogopa

na asiyetaka aende burundi

#arabspring
 
Hayo ndio maisha wananchi waliyochagua kuyaishi maana ingekuwa nchi za watu wenye akili timam kuna watu wangeachia nafasi zao mapema tuu
Sahihi
 
Wakati Sabaya anafanya Ujambazi Polisi HAI,Arusha na Kilimanjaro intelijensia yao haikubaini viashiri vyovyote?

Kuna matukio mengine najaribu kutafakari naona kabisa KATIBA YETU kwa wakati huu lazima tufanye mabadiliko , hili jambo kuna upande wataliona kama ni siasa lakini kwa afya ya nchi hili ni jambo ni njema.

Kuna kitu kinaitwa political will; hapo ndio utajua nguvu ya siasa na wanasiasa; kuna viongozi Nchi hii leo hii ukiwaambia DCI na Takukuru iwachunguze wataenda kuozea jela; ila kuna political will ya kufanya maamuzi hayo, lakini kwa KATIBA YETU hii hakuna kitu.

Maana viongozi wote ndani ya CCM hawana political will sasa ni muda wa kutumia KATIBA na kuwapa nguvu Bunge, Mahakama na kupunguza mamlaka kwa Rais! Hapa wanaweza kutokea wajinga kuuliza kwani KATIBA ndio inaleta barabara n.k? Kila siku nasema majibu kama haya ni zao la UVCCM maana kama wameweza kukaa na Wabunge 60+ hawalipi kodi kwenye mishahara yao , hapa utapata majibu ni jamii gani ipo ndani ya CCM.

Akili kubwa tunaweza kujadili hili.

Mr mkiki.
Intelijesia upande wa police Kwa asilimia kubwa zilijua+ TISS.ila Sasa nahisi zikifika juuu kw wanaofanya teuzi wanaona kama ni majungu na ukiendelea kuleta ujuaji wa ufuatiliaji Utasikia Apangiwe MAJUKUMU mengine
 
Wakati Sabaya anafanya Ujambazi Polisi HAI,Arusha na Kilimanjaro intelijensia yao haikubaini viashiri vyovyote?

Kuna matukio mengine najaribu kutafakari naona kabisa KATIBA YETU kwa wakati huu lazima tufanye mabadiliko , hili jambo kuna upande wataliona kama ni siasa lakini kwa afya ya nchi hili ni jambo ni njema.

Kuna kitu kinaitwa political will; hapo ndio utajua nguvu ya siasa na wanasiasa; kuna viongozi Nchi hii leo hii ukiwaambia DCI na Takukuru iwachunguze wataenda kuozea jela; ila kuna political will ya kufanya maamuzi hayo, lakini kwa KATIBA YETU hii hakuna kitu.

Maana viongozi wote ndani ya CCM hawana political will sasa ni muda wa kutumia KATIBA na kuwapa nguvu Bunge, Mahakama na kupunguza mamlaka kwa Rais! Hapa wanaweza kutokea wajinga kuuliza kwani KATIBA ndio inaleta barabara n.k? Kila siku nasema majibu kama haya ni zao la UVCCM maana kama wameweza kukaa na Wabunge 60+ hawalipi kodi kwenye mishahara yao , hapa utapata majibu ni jamii gani ipo ndani ya CCM.

Akili kubwa tunaweza kujadili hili.

Mr mkiki.
Wakati huo Sabaya alikuwa na nguvu kuliko makamanda wa polisi Arusha na Kilimanjaro.
 
Huyu jamaa alikuwa TRA yeye
TANESCO yeye
RPC yeye
TISS yeye
Jela inamhusu sana huyu jamaa
 
Yajayo yanafurahisha,mko tayari?,hahaha hili ni Tangzo jamani msiitilie maanani sana,vodaom ,kazi ni kwako,hahaahahaha
 
Back
Top Bottom