Wakati Serikali ikiendelea kuficha ukweli kuhusu COVID 19, baadhi ya Watanzania wenzetu inawatesa

Wakati Serikali ikiendelea kuficha ukweli kuhusu COVID 19, baadhi ya Watanzania wenzetu inawatesa

Hapa kwa Sasa shida ni serikali na Watanzania wengi tumekubali kudanganywa. Jiulize kwa Nini wizara ya michezo imefungiwa viwanja Vyote vya mikoani visiwe na mashabiki wakati wa Simba na Yanga wakienda huko,ni kwa sababu korona ipo,lakini kwa kuwa serikali imelegeza masharti huku mitaani Basi watu watakuwa wanakufa tu,yani kutakuwa na natural selection,wenye kufa wafe,wenye kupona wapone.
COPY.
 
Ninasema hayo kwa kuwa nimeshuhudia ndani ya siku za hivi karibuni watanzania wenzangu wakisimbuliwa na homa kali na kikohozi huku wakiwa na dalili nyingi za Corona! Serikali iko wapi?

Vaa barakoa na Endelea kuchukua hatua na kufuata utaratibu unaotolewa na serikali, hata kama Corona imepungua Tanzania
 
Mkuu Sasa wewe unataka serikali ifanye nini ili uelewe kuwa inapambana na huo ugonjwa? Mmeambiwa kuzingatia kanuni na taratibu zinazotolewa na wizara ya afya,wewe unataka kuleta brah brah zako za mitandaoni.

Marekani kwenyewe tangu wameweka lockdown hadi Leo hii takwimu zinazidi kupanda na wala hazipingui,waulize waganda mliokuwa mkiwasifu humu kuwa wako makini wanahali gani kwa sasa.

Sasa wewe unapoleta promo zako kuilaumu government eti haiko makaini huu ni upungufu wa uelewa kwa kichwa yako,

Tambua kuwa licha ya uwepo wa huo ugonjwa maisha lazima yasonge mbele,huu ugonjwa hata kama mtajifungia mwaka mzima ,kama hakuna chajo ni kazi bure tu.
 
Mkuu Sasa wewe unataka serikali ifanye nini ili uelewe kuwa inapambana na huo ugonjwa? Mmeambiwa kuzingatia kanuni na taratibu zinazotolewa na wizara ya afya,wewe unataka kuleta brah brah zako za mitandaoni.

Marekani kwenyewe tangu wameweka lockdown hadi Leo hii takwimu zinazidi kupanda na wala hazipingui,waulize waganga mliokuwa mkiwasifu humu kuwa wako makini wanahali gani kwa sasa

Sasa wewe unapoleta promo zako kuilaumu government eti haiko makaini huu ni upungufu wa uelewa kwa kichwa yako,
Hakika Kaka bravo kwa EXQUISITE REMARKS!!
 
G Sam,

Unajichanganya mwenyewe, corona ipo tena sana isipokuwa wengi wanaumwa na kupona wenyewe huo ndio ukweli, kwa kifupi huu ugonjwa tulitishwa sana na serikali ililitambua hilo, rejea tuliambiwa afrika tutaokota maiti barabarani viko wapi vitishi hivyo?? hata wewe waweza kuta corona ilishakupitia then ukadunda, kama hizo dalili unazozisema mimi nilizipata mafua ya kutosha wiki mbili zilizopita ila leo naendelea na yangu.
Binafsi NATOA ushuhuda...4 weeks back I had this chilling effervescence,severe headache and myalgia,then I went to a nearby healthy facility,screened me for malaria and typhoid but non of them seen wakanipa paracetamol nikarudi nyumbani na KUJIFUNGIA for almost 15 days mbali ya wanafemili wangu,alhamdulillah nyumba NI kubwa NA nilikuwa najipikia mwenyewe kwani mahitajj yote nilikuwa nayo namshukuru mola.
Then Hali ile ikayeyuka yenyewe kwa kunywa maji mengi na kulala Sana.
 
Kwanini mamlaka hazijikiti kuhimiza watu wajihadhari na kuelezea uelekeo wa ugonjwa huo nchini? Yes nipo karibu sana na wanaoathirika na hili janga na kwa hakika katika mwezi huu wa sita hali imeendelea kuwa ya kutokuridhisha kabisa!
Takwimu za wagonjwa na ugonjwa hukusanywa kila siku inayopita, huko kwenye vituo vya afya na hospitalini.

Pamoja na wewe kuwahisi walio karibu yako kuwa na dalili za ugonjwa wa COVID 19, uthibitisho wake unapatikana kule kwa watalaamu wa afya ambao hupeleka takwimu za wagonjwa na magonjwa huko serekalini unakozungumzia kila mwezi.

Hivi kweli wewe ungependa taarifa zako za ugonjwa wowote ule unaoupata zikabandikwe kwenye Serikali ya mtaa wako?.
 
Binafsi NATOA ushuhuda...4 weeks back I had this chilling effervescence,severe headache and myalgia,then I went to a nearby healthy facility,screened me for malaria and typhoid but non of them seen wakanipa paracetamol nikarudi nyumbani na KUJIFUNGIA for almost 15 days mbali ya wanafemili wangu,alhamdulillah nyumba NI kubwa NA nilikuwa najipikia mwenyewe kwani mahitajj yote nilikuwa nayo namshukuru mola.
Then Hali ile ikayeyuka yenyewe kwa kunywa maji mengi na kulala Sana.
tulitishwa sana ,corona ipo vitisho vyake ni vingi.mno, imaging watu wanaoambukizwa wanafikia laki tano then vifo vinakuwa elfu tatu na hapo.unawachanganyia magonjwa yao ila itimisho la.kifo ni corona hata kama ni malaria, huku kupima watu ni kujiongezea hofu zisizo na msingi, corona ipo mtu inatakiwa aandaliwe kupambana.nayo na si kuiogopa kutiana hofu bure ..........
 
Acha tu mkulungwa yaani USHUZI umetokea magharibi,sisi twatema mate na kufukia MASHARIKI KALAGHABAHO mafulafula MANDWANYE wanaokunywa FARU JOHN wakaanguka na watu "wakawaangukia".
 
Mnapotaka kujua takwimu za vifo na wagonjwa wa corona, msisahau kuhimiza pia mortality rate ya magonjwa mengine coz Tanzania kama nchi inasumbuliwa na magonjwa mengi mno.
 
Back
Top Bottom