Ninasema hayo kwa kuwa nimeshuhudia ndani ya siku za hivi karibuni watanzania wenzangu wakisimbuliwa na homa kali na kikohozi huku wakiwa na dalili nyingi za Corona! Serikali iko wapi?
Ubarikiwe mkuuYaani nilipata KUMUOKOA mlevi aliyeanguka maeneo ya mbagala RANGI 3 kutoka mikononi mwa wa VIJANA 4 WALIOSHASHUSHA SURUALI ZAO MAGOTINI...NI hatari
Hakika Kaka bravo kwa EXQUISITE REMARKS!!Mkuu Sasa wewe unataka serikali ifanye nini ili uelewe kuwa inapambana na huo ugonjwa? Mmeambiwa kuzingatia kanuni na taratibu zinazotolewa na wizara ya afya,wewe unataka kuleta brah brah zako za mitandaoni.
Marekani kwenyewe tangu wameweka lockdown hadi Leo hii takwimu zinazidi kupanda na wala hazipingui,waulize waganga mliokuwa mkiwasifu humu kuwa wako makini wanahali gani kwa sasa
Sasa wewe unapoleta promo zako kuilaumu government eti haiko makaini huu ni upungufu wa uelewa kwa kichwa yako,
Amin sote aamin komredi,FARU JOHN kubwa ni balaaaUbarikiwe mkuu
Binafsi NATOA ushuhuda...4 weeks back I had this chilling effervescence,severe headache and myalgia,then I went to a nearby healthy facility,screened me for malaria and typhoid but non of them seen wakanipa paracetamol nikarudi nyumbani na KUJIFUNGIA for almost 15 days mbali ya wanafemili wangu,alhamdulillah nyumba NI kubwa NA nilikuwa najipikia mwenyewe kwani mahitajj yote nilikuwa nayo namshukuru mola.G Sam,
Unajichanganya mwenyewe, corona ipo tena sana isipokuwa wengi wanaumwa na kupona wenyewe huo ndio ukweli, kwa kifupi huu ugonjwa tulitishwa sana na serikali ililitambua hilo, rejea tuliambiwa afrika tutaokota maiti barabarani viko wapi vitishi hivyo?? hata wewe waweza kuta corona ilishakupitia then ukadunda, kama hizo dalili unazozisema mimi nilizipata mafua ya kutosha wiki mbili zilizopita ila leo naendelea na yangu.
Takwimu za wagonjwa na ugonjwa hukusanywa kila siku inayopita, huko kwenye vituo vya afya na hospitalini.Kwanini mamlaka hazijikiti kuhimiza watu wajihadhari na kuelezea uelekeo wa ugonjwa huo nchini? Yes nipo karibu sana na wanaoathirika na hili janga na kwa hakika katika mwezi huu wa sita hali imeendelea kuwa ya kutokuridhisha kabisa!
Siku ya siku likimbana anahamia kwenye mbaoMficha maradhi?
Kweli we mtoto...SASA huko mbaoni ndiko mwisho wa kila mmoja wetu iwe kwa kuumwa ama naturally!!!Siku ya siku likimbana anahamia kwenye mbao
Unafikiri kwa kutumia nini?
Kwani amelaumu serikali yako au rais wako?
Ameonesha hali ilivyo na kutoa tahadhari.
Mmakonde assalaam alaykum vp jimboni nachingwea huko?!!Wachana hao walevi wa lumumba
Sio wote wanawekwa hukoKweli we mtoto...SASA huko mbaoni ndiko mwisho wa kila mmoja wetu iwe kwa kuumwa ama naturally!!!
KUENI UBONGO NYINYI
tulitishwa sana ,corona ipo vitisho vyake ni vingi.mno, imaging watu wanaoambukizwa wanafikia laki tano then vifo vinakuwa elfu tatu na hapo.unawachanganyia magonjwa yao ila itimisho la.kifo ni corona hata kama ni malaria, huku kupima watu ni kujiongezea hofu zisizo na msingi, corona ipo mtu inatakiwa aandaliwe kupambana.nayo na si kuiogopa kutiana hofu bure ..........Binafsi NATOA ushuhuda...4 weeks back I had this chilling effervescence,severe headache and myalgia,then I went to a nearby healthy facility,screened me for malaria and typhoid but non of them seen wakanipa paracetamol nikarudi nyumbani na KUJIFUNGIA for almost 15 days mbali ya wanafemili wangu,alhamdulillah nyumba NI kubwa NA nilikuwa najipikia mwenyewe kwani mahitajj yote nilikuwa nayo namshukuru mola.
Then Hali ile ikayeyuka yenyewe kwa kunywa maji mengi na kulala Sana.
Acha tu mkulungwa yaani USHUZI umetokea magharibi,sisi twatema mate na kufukia MASHARIKI KALAGHABAHO mafulafula MANDWANYE wanaokunywa FARU JOHN wakaanguka na watu "wakawaangukia".tulitishwa sana ,corona ipo vitisho vyake ni vingi.mno, imaging watu wanaoambukizwa wanafikia laki tano then vifo vinakuwa elfu tatu na hapo.unawachanganyia magonjwa yao ila itimisho la.kifo ni corona hata kama ni malaria, huku kupima watu ni kujiongezea hofu zisizo na msingi, corona ipo mtu inatakiwa aandaliwe kupambana.nayo na si kuiogopa kutiana hofu bure ..........
Likikufika wewe unapendekeza UWEKWE WAPI?Sio wote wanawekwa huko