Usibadiri jina ,ni yesuG Sam,
Afadhali umetanabaisha kwamba tunaweza kufikiri mnatumiwa na Mabeberu, na huo ndio ukweli. Hivyo basi, fanya ulichotumwa ili upate ujira wako. Tunachofahamu ni kwamba Mungu amemtumia Rais wetu kutuonesha njia ya kuishi japo mnasema kunao huo ugonjwa.
Hivi bado mko bize na covid19?Pengine watu wanaweza kufikiri kuwa sisi baadhi yetu tunaisakama sana Serikali kuhusu COVID 19 kwa kutumwa na mabeberu, la hasha! Tunafanya hivyo kwa kuwa tunawapenda sana ndugu zetu na watanzania kwa jumla.
Inashangaza sana kuona serikali inayojiita serikali makini ikitoka hadharani na kuitambia dunia kuwa Tanzania COVID 19 imepungua sana na hitokaa itokee eti maambukizi yaongezeke. Matokeo yake watanzania wengi wameamua kuishi kwa namna ya ajabu kabisa. Haya ni matokeo ya kunyimwa ukweli na wakulaumiwa ni Serikali na Wizara ya Afya kwa jumla.
Ninasema hayo kwa kuwa nimeshuhudia ndani ya siku za hivi karibuni Watanzania wenzangu wakisimbuliwa na homa kali na kikohozi huku wakiwa na dalili nyingi za Corona! Serikali iko wapi?
Kama kwa hakika tutaendelea hivi na hii tabia ya kupuuza puuza kutokana na asili yetu watanzania na mbaya zaidi tunao sasa viongozi wanaoendana na asili yetu basi tutajikuta tuligharamika kwa kiwango kikubwa na matokeo yake ni nchi kuanza kupata midororo mikubwa ya kibiashara.
Nitoe Rai kwa serikali, kusema kuwa baadhi ya Wataznania wanasumbuliwa na Corona si dhambi, kutoa tahadhari na kuhimiza watu kujikinga si dhambi. Dhambi ni mwenenndo ambao kwa sasa tumeamua kusafiri nao.
Tuweke kumbukumbu ili siku moja tuje kusemezana bila haya!
Nyaraka za Zitto zikaishia kule Kilwa....Hivi zile kutba za Covid19 za Mbowe na Nyaraka za akina Zitto zimeishiaga wapi?
wapi mkuu?Tumezika watatu juzi hapa mtaani. Majeneza yamepigwa tepu na wamezikwa na wajuba wenye suti nyeusi.
Wki iliyopta nilibanwa na homa kali na mafua mepesiPengine watu wanaweza kufikiri kuwa sisi baadhi yetu tunaisakama sana Serikali kuhusu COVID 19 kwa kutumwa na mabeberu, la hasha! Tunafanya hivyo kwa kuwa tunawapenda sana ndugu zetu na watanzania kwa jumla.
Inashangaza sana kuona serikali inayojiita serikali makini ikitoka hadharani na kuitambia dunia kuwa Tanzania COVID 19 imepungua sana na hitokaa itokee eti maambukizi yaongezeke. Matokeo yake watanzania wengi wameamua kuishi kwa namna ya ajabu kabisa. Haya ni matokeo ya kunyimwa ukweli na wakulaumiwa ni Serikali na Wizara ya Afya kwa jumla.
Ninasema hayo kwa kuwa nimeshuhudia ndani ya siku za hivi karibuni Watanzania wenzangu wakisimbuliwa na homa kali na kikohozi huku wakiwa na dalili nyingi za Corona! Serikali iko wapi?
Kama kwa hakika tutaendelea hivi na hii tabia ya kupuuza puuza kutokana na asili yetu watanzania na mbaya zaidi tunao sasa viongozi wanaoendana na asili yetu basi tutajikuta tuligharamika kwa kiwango kikubwa na matokeo yake ni nchi kuanza kupata midororo mikubwa ya kibiashara.
Nitoe Rai kwa serikali, kusema kuwa baadhi ya Wataznania wanasumbuliwa na Corona si dhambi, kutoa tahadhari na kuhimiza watu kujikinga si dhambi. Dhambi ni mwenenndo ambao kwa sasa tumeamua kusafiri nao.
Tuweke kumbukumbu ili siku moja tuje kusemezana bila haya!
Hapo chacha...Mnapotaka kujua takwimu za vifo na wagonjwa wa corona, msisahau kuhimiza pia mortality rate ya magonjwa mengine coz Tanzania kama nchi inasumbuliwa na magonjwa mengi mno.
Wakati mwingine wana JF tuwe serious kwa michango yetu. Maada iliyeko mbele yetu ni very serious. Hapa kinachojadiliwa ni hatua ya serikali na raia wake kuhusu Corona. Tukatae au tukubali: KORONA IPO!! Mbowe na hawara yake inatuhusu nini hapa? Au ni njia ya kututoa kwenye mada?Tumpe tahadhari pia Mwenyekiti wetu Mbowe, kwenda kulewa na hawara wake maeneo ya wazi kama bar na pubs kunaweza mletea Corona.
Nawasilisha makamanda wenzangu.
Tumezika watatu juzi hapa mtaani. Majeneza yamepigwa tepu na wamezikwa na wajuba wenye suti nyeusi.
Hivi "Bia yetu" kabadili ID au katoweka humu??Tumpe tahadhari pia Mwenyekiti wetu Mbowe, kwenda kulewa na hawara wake maeneo ya wazi kama bar na pubs kunaweza mletea Corona.
Nawasilisha makamanda wenzangu.
Wanirushe baharini au wanipeleke jangwani niliwe na tai kama kule abudhani walivyokuwa wakifanya zamaniIki
Likikufika wewe unapendekeza UWEKWE WAPI?
Anazo ndungulìleHivi zile kutba za Covid19 za Mbowe na Nyaraka za akina Zitto zimeishiaga wapi?
Tunajikinga sana sana sana. Tunaonea wenzetu ambao licha ya kutokujikinga pia hawapewi msukumo wowote ule na mamlaka. Maisha tunayoishi hapana!Kama corona ni hatari kama mnavyotuaminisha mbona I'd za wapiga debe wa hivi vijimafua ziko active na hamfi? Serikali haiwezi kuangaika vijimafua visivyo weza kuua hata kuku chapeni kazi
Jiwe hajikingi mbona hafi??Tunajikinga sana sana sana. Tunaonea wenzetu ambao licha ya kutokujikinga pia hawapewi msukumo wowote ule na mamlaka. Maisha tunayoishi hapana!