Wakati Serikali ikiendelea kuficha ukweli kuhusu COVID 19, baadhi ya Watanzania wenzetu inawatesa

Kuna Watanzania wenzetu wanateseka kwa UKIMWI, KANSA, MALARIA, TB NA SURUA. wewe umeona CORONA TUU. acha ujinga wako bana
 
Wanirushe baharini au wanipeleke jangwani niliwe na tai kama kule abudhani walivyokuwa wakifanya zamani
Kwi kwi kwi "kwa kuzikwa huko" huoni kuwa UTASAMBAZA kilichokuchukua?
TAI ANAINGILIANA SANA KIEKOLOJIA NA BINADAMU....
Ha ha ha ha umeshapiga FARU JOHN ya mh.mwenyekiti ee?!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…