BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 4,548
- 11,901
Wakati Tanzana raia wanaambiwa kikubwa wanakula wanashiba na wanapata muda wa kujadili Yanga na Simba, Gaboni wameandika katiba mpga na hivyo kuhitimisha utawalala wa Familia ya Bongo.
Kumbuka ni hadi yamefanyika Mapinduzi ya amani ndio katiba mpya imepatikana Gaboni, hii inaleta picha kwamba kwa Tanzania na aina hii ya uzezeta wa Raia sion urahisi wa kupata katiba mpya.
Tanzania kikubwa raia wanakula wanashiba na pia wanapata muda wa kijadili yanga na Simba ikiwemo katiba za hizo Vilabu.
Raia wenyewe sasa walivyo wajinga akisha weza kushiba basi kasi imeisha.
Utawala wa CCM ni sawa na utawala wa Familia ya Ali Bongo ambako unapaswa kupunzishwa shida sasa kazi ya kupumzisha CCM ana chiwa mtu mmoja au wawili tu, na raia wengine wakiwa bisy na Yanga na Simga na wanao vakia ni chawa tupu.
Hivyo mambo kama katiba moya sio swala la maana wala muhimu kwao.
Na