Wakati Tanzania tukijidanganya kuokota points kwa Zambia na Congo DR wao wamesema hivi

Wakati Tanzania tukijidanganya kuokota points kwa Zambia na Congo DR wao wamesema hivi

Cognizant

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2022
Posts
626
Reaction score
1,409
Zambia: Kama kuna timu ambayo tunaenda kuokota points za bure ni ya Tanzania ila kwa Morocco tutajitahidi tupate angalau sare au suluhu kisha huko mbele tutajua nani ataenda.

Congo DR: Morocco tukijitafuta tuna uwezo wa kuwafunga au basi tukiwashinda tutatafuta sare au suluhu ila kwa Tanzania wala hatujisumbui kwani hata wajipange vipi tutawafunga tu na kuokota zetu tatu za kutusaidia huko mbeleni.

Yaani kwa ule mpira mwingi walioupiga jana Congo DR na Zambia bado kuna zuzu / mizuzu inajipa moyo kabisa kuwa itawafunga na kumaliza na points sita na kuendelea na hatua nyingine ya mashindano.
 
Ningekuwa Rais wa Tanzania Leo.Ningeamru Taifa stars kurudi Nyumbani haraka na budget yake ningeenda kucheka Zahanati moja nzuri kijijini kuweka kumbukumbu vizuri.Huko tunapoteza muda na pesa
nakubaliana nawe kwa 100% mkuu
 
Back
Top Bottom