Wakati Tanzania tukijidanganya kuokota points kwa Zambia na Congo DR wao wamesema hivi

Wakati Tanzania tukijidanganya kuokota points kwa Zambia na Congo DR wao wamesema hivi

Hivi msingi hasa lawama hizi ni nini?

Kwahiyo mlitegemea matokeo gani.yaani Tanzania kufungwa na Morroco ni jambo la kushangaa kweli?

Hivi mna akili kweli..au mna ajenda yenu...tena morrocco ya nyakati hizi vs Tz ya nyakati hizi.

The first fifa ranked in africa vs 30's ranked.

Mna viburi sana.
 
Mimi furaha yangu hili timu la CCM kikandwe na kila timu lipate hata point moja.
 
Wanaoharibu mpira wa Tanzania ni watu watatu:

1. Wanasiasa wa ccm.
2. Rais Samia Suluhu Hassan
3. Simba na Yanga

Siku wakiondoka hao ndio Tanzania watacheza mpira lakini kwa sasa tuendelee na utamaduni wetu wa kuchagua timu za nje za kushangilia.
 
Ningekuwa Rais wa Tanzania Leo.Ningeamru Taifa stars kurudi Nyumbani haraka na budget yake ningeenda kucheka Zahanati moja nzuri kijijini kuweka kumbukumbu vizuri.Huko tunapoteza muda na pesa
Umesahau kuwa huwa analipia/ananunua magoli ya simba & yanga. Hilo wazo litatoka wapi mkuu????
 
Wanaoharibu mpira wa Tanzania ni watu watatu:

1. Wanasiasa wa ccm.
2. Rais Samia Suluhu Hassan
3. Simba na Yanga

Siku wakiondoka hao ndio Tanzania watacheza mpira lakini kwa sasa tuendelee na utamaduni wetu wa kuchagua timu za nje za kushangilia.
Tuhesabu hivi 2,1&3
 
Kichwa cha mwendawaziimu ni kipi? Ni kile kichwa kinachoamini Starz inaweza kumfunga Zambia na Congo.
kitu inatufanyaga wa tz tusifike mbali ni kuji undermine kiasi kwamba sikuzote ata achukuliwe mtoto mdogo hatujawai jiamini sasa kama hujiamini wewe shabiki, je wachezaji ndo watajiamini? tunaitaji kujikomboa kifikira b4 matokeo
 
Taifa Stars wataifunga Zambia na watatoka Sare na Congo...

Hata kama tutatolewa hatuwezi kufungwa mechi zote.
 
Back
Top Bottom