Je Zanzibar Ikiwa nchi Tanganyika Nadhani Nayo Itakuwa Nchi therefore Wazanzibar Watakuwa na Rais wao ambaye ni Mzanzibar na Watanganyika watakuwa na Rais wao ambaye ni Mtanganyika. Kama ikitokea hilo basi Rais wa Tanganyika hasiwe akapatikana Kama yule tuliyemshuhudia.