Wakati tukisubiri muda wa Kongamano la Katiba (Katiba day) kufika , hebu tusikilize sehemu ya Hotuba ya Jaji Warioba kwenye Bunge la Katiba

Wakati tukisubiri muda wa Kongamano la Katiba (Katiba day) kufika , hebu tusikilize sehemu ya Hotuba ya Jaji Warioba kwenye Bunge la Katiba

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Hivi ndivyo ilivyokuwa

 
Katiba mpya ni lazima, kwa umoja wetu ulioparaganyika
Tanzania ni yetu sote.!
 
Je Zanzibar Ikiwa nchi Tanganyika Nadhani Nayo Itakuwa Nchi therefore Wazanzibar Watakuwa na Rais wao ambaye ni Mzanzibar na Watanganyika watakuwa na Rais wao ambaye ni Mtanganyika. Kama ikitokea hilo basi Rais wa Tanganyika hasije akapatikana Kama yule tuliyemshuhudia yaani aliyetupitisha Kwenye Tanuru la Moto.
 
Je Zanzibar Ikiwa nchi Tanganyika Nadhani Nayo Itakuwa Nchi therefore Wazanzibar Watakuwa na Rais wao ambaye ni Mzanzibar na Watanganyika watakuwa na Rais wao ambaye ni Mtanganyika. Kama ikitokea hilo basi Rais wa Tanganyika hasiwe akapatikana Kama yule tuliyemshuhudia.
Katiba mpya ndio suluhisho
 
Back
Top Bottom