Wakati tulilalamika miti Milioni 2 (Bwawa la JKN) Marekani wanakata miti 31.1m kila mwaka ili itumike chooni

Wakati tulilalamika miti Milioni 2 (Bwawa la JKN) Marekani wanakata miti 31.1m kila mwaka ili itumike chooni

Logikos

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2014
Posts
15,460
Reaction score
24,233
Lets put things in perspective watu walilalamika hapa

Rejea - Takribani miti milioni 3.5 ilikatwa kupisha ujenzi wa Umeme JNHP (Stieglers)

Ingawa matumizi ya Toilet Paper yanachangia about 15% ya deforestation

Starting with the United States, it requires 31.1 million trees to meet demands each year. That’s a massive number that directly contributes to deforestation, soil erosion and loss of forest biodiversity.

Across the pond, the United Kingdom uses 3,115,437 feet of loo roll annually. That equates to 5.7 million trees that leave large swaths of barren land when cut down for TP production.

China requires the most amount of trees in the world — a staggering 47 million annually. Even with replanting efforts, that kind of consumption leaves a scar on the environment.

Down under, where the toilet water may or may not flush in the opposite direction, it carries with it the 88 rolls that the average Australian uses annually. Hong Kong, Switzerland and Sweden all use about the same amount.

Sisemi tuache kutumia huduma hii muhimu lakini tukumbuke wakati tunalaumiana maiti zinazidiana kunuka....

The average citizen in Portugal, for example, uses 11,323 rolls of toilet paper in their lifetime. In contrast, a citizen from Nigeria consumes just 56 rolls in the same amount of time.

Kwahio wale tuliokasirika kwa uharibifu wa miti wakati wa Bwawa la Nyerere tuendelee kuwakasirikia na hawa wanaoflush mamilioni ya Miti Chooni

Reference: Inhabitat
 
Lets put things in perspective watu walilalamika hapa

Ingawa matumizi ya Toilet Paper yanachangia about 15% ya deforestation

Sisemi tuache kutumia huduma hii muhimu lakini tukumbuke wakati tunalaumiana maiti zinazidiana kunuka....

Kwahio wale tuliokasirika kwa uharibifu wa miti wakati wa Bwawa la Nyerere tuendelee kuwakasirikia na hawa wanaoflush mamilioni ya Miti Chooni

Reference:
Ahahahaaa

Kwahiyo huu ndo utetezi wako Kwa JPM
 
Ahahahaaa

Kwahiyo huu ndo utetezi wako Kwa JPM
Moja sijawahi kumtetea JPM wala sina hulka ya kutetea wala kutukana watu, tofauti yangu na wengi ni kwamba Magufuli nilimpiga nyundo wakati yupo hai....., Pili huu mradi sio wa JPM ulikuwepo tangu enzi na enzi ingawa kipindi kile nchi za nje ziliona hakuna sababu ya kutegeme huu mradi wakati kuna vyanzo vingine vingi na kwa wakati huo such capacity was more than what was required.....

Until the day tutakapoanza ku-deal na issue na sio individuals, tutaendelea sana kupigana na Marehemu, always one step behind....
 
Ahahahaaa

Kwahiyo huu ndo utetezi wako Kwa JPM
Hizo ni baadhi ya Nyundo nilizokuwa nikimpiga JPM

Hizo ni uzi nilizoanzisha ila ukija kwenye comments zidhani kuna hata siku moja nilimsifia (hio sio kazi yangu, wala kiongozi akiwa hapo juu haitaji kusifiwa wala kupongezwa, sababu anachofanya ni wajibu wake) sijaona TRA au Wadau wananisifia kila siku kwa kulipa kwangu kodi (wala sihitaji wanisifie kwa kufanya hivyo watakuwa wanatumia Muda vibaya)
 
Sawa
Nimeona mkuu
 
Lets put things in perspective watu walilalamika hapa

Rejea - Takribani miti milioni 3.5 ilikatwa kupisha ujenzi wa Umeme JNHP (Stieglers)

Ingawa matumizi ya Toilet Paper yanachangia about 15% ya deforestation

Sisemi tuache kutumia huduma hii muhimu lakini tukumbuke wakati tunalaumiana maiti zinazidiana kunuka....

Kwahio wale tuliokasirika kwa uharibifu wa miti wakati wa Bwawa la Nyerere tuendelee kuwakasirikia na hawa wanaoflush mamilioni ya Miti Chooni

Reference: Inhabitat
Kaka, hao wanapanda mingapi?
 
Tanzania inaingia Marekani mara 20
Marekani ina misitu mingi mara 10000 ya misitu ya Tanzania

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Tanzania inaingia Marekani mara 20
Marekani ina misitu mingi mara 10000 ya misitu ya Tanzania

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Unadhani dunia ni kama mabakuli yaliyopo mezani ?, Kwamba wewe ukikomba mboga yako haina effect kwa jirani yako......

Dunia inategemeana walijisemea Wachina..., A Single Flap of Butterfly wings at one part of Earth can change the weather in other parts...., "The flapping of the wings of a butterfly can be felt on the other side of the world."

Ni kwamba dunia inategemea ile misitu ya Amazon Forest ni kama mapafu kwa dunia inahitajika ikikatwa kule effect yake ni dunia nzima hilo bahari lililoko hapo pwani kwako sio la kwako pekee kuligeuza kama sewage au dampo effect yake ni kwa wala samaki wa baharini pote duniani; It's all connected.....

Na kwa kukata miti milioni mbili ambayo ingepunguza ukataji wa miti maelfu kila mwaka kwa miaka to infinity (Kwa matumizi ya kuni / nishati) ni bora kuliko wale wanaokata kwa matumizi yao (toilet paper) vilevile kusababisha wengine wakate kila mwaka (ili wayatupe chooni) it's not comparable...
 
Kaka, hao wanapanda mingapi?
Na issue sio miti tu, bali hii chain nzima kwa mazingira madhara yake ni balaa.....

First, there are the workers that use heavy equipment to cut down the trees. This results in water and air pollution through fuels used for vehicles and chainsaws. Then we have transport emissions to processing plants, the impact of the manufacturing plants, plastic packaging, and further transport to the stores. Finally, we have to add in the transport emissions to individual businesses and homes.
 
Kwani hao marekani wanakata miti ya asili au ya kupanda kama tunavyokata ile ya mafinga kwajili ya nguzo mbao au karatasi. Ni miti ipi
 
Kwani hao marekani wanakata miti ya asili au ya kupanda kama tunavyokata ile ya mafinga kwajili ya nguzo mbao au karatasi. Ni miti ipi
Moja kazi ya miti mwisho wa siku ni kupunguza CO2 emmission pamoja na kusaidia mvua na mambo mengine ya kimazingira no matter ni mpingo, cypress au mti sijui wa aina gani...

Pili utakuta hata China wanaokata miti takribani milioni 47 ni kwa ajili pia ya kulisha soko la Marekani, Uingereza pamoja na wengine kwa matumizi ya Choo, kwahio hata mwisho wa siku huenda na sisi huku tunakata ili kulisha hilo soko.....

Tatu kukata miti milioni mbili ili kuzuia kukata miti milioni kadhaa zaidi down the line kwa matumizi ya Kuni n.k. is a better option....

Nne hapa sipo kutetea hiki au kile lakini point yangu kuu ni kama wewe tembo unamlaani chura kwa kutumia sana maji wakati wewe unakunywa madebe kadhaa.....
 
Tanzania inaingia Marekani mara 20
Marekani ina misitu mingi mara 10000 ya misitu ya Tanzania

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Ingawa sijafanya due diligence ya uhakika zaidi cheki hapa kuna percentage ya nchi ambayo ni forested; while Tanzania ni 51 percent as of 2020 USA ni 33.9

Kwa kujilidhisha zaidi cheki hizi site mbili hio ya pili weka mouse yako kwenye nchi itakupa data....

Kwani uwongo? Mngekufa kama nzi bila hizo arv. Na hata hizo arv zilimsaidia Jiwe awe rais afikishe miaka 60. Angeshaondoka longtime kabla hata march 17 2021.
What has one got to do with the other ? Nadhani hilo ndio swali la muhusika..., Does one has any justification for the other ?!!! Yaani unitibu ukimwi alafu uniue kwa kiu na mafuriko !!
 
Back
Top Bottom