Heri ya mwaka mpya 2023. Ndugu zangu watanzania tuzidi kujipa moyo Mungu yupo kutufuta machozi ktk kila nyakati. Tupunguze manung'uniko na lawama ili Mungu afanye kazi yake.
Hakuna chama wala mtu anaweza sema yeye ndio mwenye hati miliki ya hili Taifa ila kila mtu ana haki sawa ya utanzania wake kuwa sehemu katika urithi wa Taifa hili. Malalamiko na lawama vina mchelewesha Mungu kumaliza mpango wake kwa Taifa hili.
Niwakati wakusali na kumuomba Mungu kwa kesho ya Taifa hili.
Mungu anaenda kuinua vijana wengi wenye akili za ajabu ktk mifumo ya Taifa hili. Mungu ana enda kuinua wazee wachache wenye akili watakao lisaidia Taifa hili kwa namna haijawahi tokea.
Wale wanawaza juu ya matumbo yao na vizazi vyao wengi wakiwa ktk usingizi nakujuwa huu ndio muda wakuila nchi wengi watakuta nchi ikiwala wao kwa sababu Neno la Mungu haliwezi kwenda likarudi bure.
Kesho ya watanzania ni yabaraka na mafanikio mengi kila mtu akilifurahia Taifa hili kwa ajili ya Mungu.
Mjapo ona maisha yakawa machungu na pesa hamuioni basi kumbukeni huo ni mwazo wa utungu mara Tz mpya atazaliwa.
Happy new year 2023.