Nyanda Banka
JF-Expert Member
- Mar 14, 2023
- 304
- 1,054
Kitu Kimoja Ambacho Mashabiki Wa Muziki Mnapaswa Kujua Ni Kwamba Diamond Ni Msanii Mkubwa Afrika Na Anaweza Kufanya Show Nchi Yoyote Ndani Ya Afrika Na Watu Wakajaa, Lakini Inapokuja Kwenye Soko La Ulaya Bado Hana Nguvu Tofauti Na Wenzetu Nigeria.
Wenzetu Walishatangulia Kiuwekezaji Na Wanabebana Kwenye Show Kubwa, Mfano Mwaka 2021 Burna Boy Alifanya Onesho Kubwa Uingereza Akamchukua Rema Akaenda Nae Alipokuwa Akitumbuiza Akampandisha Rema Akaimba Ikawa Mwanzo Wa Jina La Rema Kufuatiliwa. Jana Burna Boy Kafanya Show London Stadium Watu Elfu 80 Ndani Katikati Ya Show Akampandisha Omah Lay Akaimba Tayari Amesha Mtambulisha Duniani.
Diamond Anapambana Peke Yake Tanzania Yote Tunamtazama Yeye Kama Mchonga Njia Hivyo Inabidi Kutumia Nguvu Kubwa Sana Yeye Kusogea Na Anaenda Taratibu Sana Na Hakuna Wa Kumpa Nguvu, Lakini Ukiangalia Hata Mashabiki Wanaomponda Diamond Utasikia Wakisema "Diamond Hafikii Levo Za Kina Burna Boy" Lakini Huwezi Sikia Wakisema "Diamond Hafikii Levo Za Alikiba, Harmonize Au Rayvanny " Kwasababu Wanajua Kwamba Hawa Wote Hawatoboi Mbele Ya Diamond Ndio Maana Wanamtukana Diamond Kwa Kumlinganisha Na Wasanii Wa Nje.
Tunatakiwa Kuelewa Kwamba Nigeria Ndiyo Nchi Ambayo Inafanya Vizuri Zaidi Nje Ya Afrika Kuliko Nchi Zote Za Afrika, Muziki Wao Umekuwa Kwa Kasi Kubwa Sana Hivyo Ni Rahisi Hata Kwa Msanii Wa Kawaida Kupata Fanbase Kubwa Nje Ya Afrika Sababu Njia Yao Ipo Wazi Ndio Maana Msanii Kama Rema Ambae Ameanza Juzi Anakubali Zaidi Nje Ya Afrika.
Wakati Tunamtukana Diamond Tujiulize Nchi Za Afrika Ziko Ngapi Zina Wasanii Wangapi Na Je Kwanini Nchi Nyingine Hazifanyo Vizuri Kuzidi Nigeria, Lakini Pia Wakati Tunamtukana Diamond Tujiulize Diamond Yuko Peke Yake Tanzania? Kama Hayuko Peke Yake Hao Wengine Wanafanya Nini Mpaka Hawaendi Kupambana Kila Siku Tunamuona Diamond Tu? Siku Za Hivi Karibuni Nimeona Rayvanny Nae Ameingia Kwenye Mapambano Ya Kimataifa Na Anajitahidi Lakini Bado Nguvu Ndogo.
Wakati Tunamtukana Diamond Tuwakumbushe Na Wengine Tuwaambie Kuwa Wamelala Jamaa Anapambana Peke Yake Vita Kubwa Ambayo Inahitaji Nguvu Ya Wengi Ili Kuishinda, Zaidi Tunatakiwa Kujua Kwamba Lugha Pia Inawasaidia Wenzet Sababu Dunia Inaongea English Na Wenzetu Wanaimba Kwa Lugha Ya English Hivyo Ni Rahisi Kwa Dunia Kuwaelewa Haraka Kuliko Sisi Wa Kiswahili Na Cha Mwisho Wenzetu Wamewekeza Pesa Nyingi Zaidi Na Kiuchumi Wapo Imara Na Muziki Kwao Ni Biashara Yenye Thamani Kubwa Inasapotiwa Na Mashirika Makubwa Tofauti Na Hapa Kwetu Muziki Unaonekana Biashara Ya Wahuni Hivyo Wasanii Wanajipigania Kwa Nguvu Zao Na Kufanya Hata Ukuaji Wao Uende Taratibu.