Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Mhe. Waziri WA Fedha Bila kujali kesi zilizowahi kufunguliwa na kuamuliwa kwenye mabaraza mbalimbali amegongelea msumari kuunganishwa Kwa Tanga cement na Twiga cement Kwa maelezo kwamba serikali inaziona dola milion Mia NNE siyo zakuacha hivihivi.
Nawakumbusha Tu maana mambo NI mengi uchaguzi unakaribia
Nawakumbusha Tu maana mambo NI mengi uchaguzi unakaribia