Minjingu Jingu
JF-Expert Member
- Nov 2, 2023
- 1,072
- 2,384
Wakati tunaanza chuo mwaka 2002 the guy alikuwa smart mpaka tunamaliza 2005. Nlikuwa naona ni moja ya watu ambao watakuja kufanya makubwa sana nchini.
Nimekuja kutana naye mwaka jana...kwanza nlishtuka. Amevaa tshirt ya chama na kofia. Nikamuuliza xxxx ni wewe au naota. Akaniambia ni mimi xxxx na wewe ni yyy. Nikasema ni kweli sijakuchanganya. Nikamuuliza ulipatwa na nini katika hii dunia? Mbona ulikuwa na akili sana kipindi kile tunasoma chuo?
Leo amevaa tshirt imeandikwa mama anatosha 2025 nikamuuliza kuna nini mpaka aseme hivyo kwani baba yake anataka oa mwanamke mwingine huo mwaka 2025? Akasema no angalia picha mama tunamaanisha mheshimiwa. Nikachoka sana... Jamaa yangu amepatwa na nini huyu?zamani alikuwa critical thinker sasa amekuwa boza kabisa.
Tukamuunga kwenye group letu la chuo mwaka 2005. Mambo anayopost. Utasikitika na kusikitikia wazazi wake. Jamaa amepatwa na nini?mpaka anavaa tshirt na kofia? Kabakiziwa akili za kuvukia barabara na kuvalia tu nguo.