Wakati tunasoma naye Chuo alikuwa na akili, lakini sasa nimekuja kutana naye.... Inasikitisha.

Mku mbona kama umepaniki? Yeye mhusika wala hakupaniki. Why kama hili suala limekuwa too personal kwako?just relax mku. Mambo ya kawaida haya usiwe na ghadhabu za haraka haraka.
Hayo ni mawazo yako,hakuna aliyepaniki ila kufuatilia personal life ya mtu,mpaka kuja kumfungulia Uzi JF sio jambo la kufanywa na mtu anayejitambua.
 
Mkuu tabia ya kuwauliza watu wamepatwa Nini kwenye Maisha Yao Naona ni umbea na kiherehere wewe yanakuhusu Nini??

Ety mbona ulikuwa na akili Sana chuo Sasa wewe kina kuhusu Nini??

Nyie ndio wale unakutana na MTU analopoka umekonda sana Fulani

Fata yako acha umbea na kiherehere kufatilia Maisha ya watu
Watu kama hawa huwa wanaathiri wenzao sana kisaikolojia! We pita na hamsini zako mambo ya imekuaje imekuaje hayo ni maisha binafsi ya mtu
 
Wakati tunaanza chuo mwaka 2002 the guy alikuwa smart mpaka tunamaliza 2005. Nlikuwa naona ni moja ya watu ambao watakuja kufanya makubwa sana nchini.

Nimekuja kutana naye mwaka jana...kwanza nlishtuka. Amevaa tshirt ya chama na kofia. Nikamuuliza xxxx ni wewe au naota. Akaniambia ni mimi xxxx na wewe ni yyy. Nikasema ni kweli sijakuchanganya. Nikamuuliza ulipatwa na nini katika hii dunia? Mbona ulikuwa na akili sana kipindi kile tunasoma chuo?

Leo amevaa tshirt imeandikwa mama anatosha 2025 nikamuuliza kuna nini mpaka aseme hivyo kwani baba yake anataka oa mwanamke mwingine huo mwaka 2025? Akasema no angalia picha mama tunamaanisha mheshimiwa. Nikachoka sana... Jamaa yangu amepatwa na nini huyu?zamani alikuwa critical thinker sasa amekuwa boza kabisa.

Tukamuunga kwenye group letu la chuo mwaka 2005. Mambo anayopost. Utasikitika na kusikitikia wazazi wake. Jamaa amepatwa na nini?mpaka anavaa tshirt na kofia? Kabikiziwa akili za kuvukia barabara na kuvalia tu nguo.
Kwa kuficha jina umeua story na kuifanya iwe umbea mwanangu. Weka jina hata kama ni Mohamed Mchengerwa.
 
Mkuu tabia ya kuwauliza watu wamepatwa Nini kwenye Maisha Yao Naona ni umbea na kiherehere wewe yanakuhusu Nini??

Ety mbona ulikuwa na akili Sana chuo Sasa wewe kina kuhusu Nini??

Nyie ndio wale unakutana na MTU analopoka umekonda sana Fulani

Fata yako acha umbea na kiherehere kufatilia Maisha ya watu

Sasa kama ulikuwa na nyodo , matambo na kujiona umejiyapatia maisha kwa nini wadau wasio na mshipa wa aibu wasikutwange
 
Akili ya darasani inahusianaje na akili ya kuishi mtaani?

Live your life bro, Acha kufuatilia maisha ya watu, hupati faida yeyote.
 
Wakati tunaanza chuo mwaka 2002 the guy alikuwa smart mpaka tunamaliza 2005. Nlikuwa naona ni moja ya watu ambao watakuja kufanya makubwa sana nchini.

Nimekuja kutana naye mwaka jana...kwanza nlishtuka. Amevaa tshirt ya chama na kofia. Nikamuuliza xxxx ni wewe au naota. Akaniambia ni mimi xxxx na wewe ni yyy. Nikasema ni kweli sijakuchanganya. Nikamuuliza ulipatwa na nini katika hii dunia? Mbona ulikuwa na akili sana kipindi kile tunasoma chuo?

Leo amevaa tshirt imeandikwa mama anatosha 2025 nikamuuliza kuna nini mpaka aseme hivyo kwani baba yake anataka oa mwanamke mwingine huo mwaka 2025? Akasema no angalia picha mama tunamaanisha mheshimiwa. Nikachoka sana... Jamaa yangu amepatwa na nini huyu?zamani alikuwa critical thinker sasa amekuwa boza kabisa.

Tukamuunga kwenye group letu la chuo mwaka 2005. Mambo anayopost. Utasikitika na kusikitikia wazazi wake. Jamaa amepatwa na nini?mpaka anavaa tshirt na kofia? Kabikiziwa akili za kuvukia barabara na kuvalia tu nguo.
Hahaha
 
Back
Top Bottom