Mkuu uganda wamecheza na comoro...maboxi wamecheza na timu dhaifu kidogo....Timu ya soka ya taifa ya uganda wamefanikiwa kuingia kwenye fainali za AFCON sisi tanzania TFF wapo busy kuwafungia wasemaji wa timu badala ya kuwekeza kwenye soka.hii ndio tanzania siasa mbele vitendo nyuma
Hao Uganda kwa upande mmoja safari hii wamefaidika na kundi walilokuwepo.Jiulize wangepangwa kundi tulilokuwepo wangefuzu?Timu ya soka ya taifa ya Uganda wamefanikiwa kuingia kwenye fainali za AFCON mwaka 2O17 baada ya kuifunga Comoros 1-O, mara ya mwisho Uganda kushiriki fainali hizo ilikuwa ni mwaka 1978
Sisi Tanzania TFF wapo busy kuwafungia wasemaji wa timu badala ya kuwekeza kwenye soka. Hii ndio Tanzania siasa mbele vitendo nyuma
Wangeweza kuifunga Misri home&away kama walivyofanya kwa Comoro?Nigeria je?Bahati imewakutaWangefuzu tu ukweli utabakia ukweli na nyeupe itabakia kuwa nyeupe
Mkuu uganda wamecheza na comoro...maboxi wamecheza na timu dhaifu kidogo....
Siyo kwamba nawabeza comoro....Ila tanzania ina mkosi wa kupangiwa makundi magumu huku tukiwa na maandalizi hafifu....
Ni kweli serikali inabidi iongeze nguvu kusaidia timu ya taifa.....
WARUDISHE MICHEZO MASHULENI MAANA HUKO KUNA VIPAJI....NA PIA MITAANI KUNA VIPAJI LUKUKI....VINAACHWA..
WAKATI UMEFIKA TIMU HIYO IVUNJWE ITENGENEZWE UPYA.....NA KUWAONDOA HAWA WAVAA HELENI NA WASUKA NYWELE WACHEZAJI...
VIPAJI VIKO MASHULENI NA MITAANI
OVA
Jibu ...wangewza kuifunga Misri home and away?Nigeria Je?....hatuna wachezaji wengi wanao cheza nje ndio sababu kubwa.Mkuu pamoja na bahati lkn pia na maandalizi na kuondoa siasa kwenye mambo yasiyo hitaji siasa
Duh hapo basi!....Wameshindwa kutoa ajira,usitegemee wasaidie timu ya taifa na michezo kiujumla.
1980Mwisho Tanzania kuingia AFCON lini?
Hata Kenya waliwazuia...sio mbaya safari hii wamepitia viti maalumuKumbuka Uganda miaka mitatu nyuma walizuiliwa na Zambia kwa penati 9 kwa 10.hata kocha waliyenaye anaujua mpira
Jamali malinzi kaua kabisa mpira wa bongo.Timu ya soka ya taifa ya Uganda wamefanikiwa kuingia kwenye fainali za AFCON mwaka 2O17 baada ya kuifunga Comoros 1-O, mara ya mwisho Uganda kushiriki fainali hizo ilikuwa ni mwaka 1978
Sisi Tanzania TFF wapo busy kuwafungia wasemaji wa timu badala ya kuwekeza kwenye soka. Hii ndio Tanzania siasa mbele vitendo nyuma