Wakati Uganda waki qualify AFCON sisi TFF wamelala

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
122,494
Reaction score
96,074
Timu ya soka ya taifa ya Uganda wamefanikiwa kuingia kwenye fainali za AFCON mwaka 2O17 baada ya kuifunga Comoros 1-O, mara ya mwisho Uganda kushiriki fainali hizo ilikuwa ni mwaka 1978
Sisi Tanzania TFF wapo busy kuwafungia wasemaji wa timu badala ya kuwekeza kwenye soka. Hii ndio Tanzania siasa mbele vitendo nyuma
 
Timu ya soka ya taifa ya uganda wamefanikiwa kuingia kwenye fainali za AFCON sisi tanzania TFF wapo busy kuwafungia wasemaji wa timu badala ya kuwekeza kwenye soka.hii ndio tanzania siasa mbele vitendo nyuma
Mkuu uganda wamecheza na comoro...maboxi wamecheza na timu dhaifu kidogo....
Siyo kwamba nawabeza comoro....Ila tanzania ina mkosi wa kupangiwa makundi magumu huku tukiwa na maandalizi hafifu....
Ni kweli serikali inabidi iongeze nguvu kusaidia timu ya taifa.....
WARUDISHE MICHEZO MASHULENI MAANA HUKO KUNA VIPAJI....NA PIA MITAANI KUNA VIPAJI LUKUKI....VINAACHWA..
WAKATI UMEFIKA TIMU HIYO IVUNJWE ITENGENEZWE UPYA.....NA KUWAONDOA HAWA WAVAA HELENI NA WASUKA NYWELE WACHEZAJI...

VIPAJI VIKO MASHULENI NA MITAANI

OVA
 
Kila siku utaskia tulifungwa lakini tulicheza vizuri

Tatizo lina anzia TFF uongozi haufai.

Serikali ya sas nayo kwenye michezo tulie tuu, saa ukichanganya na TFF ya Malinzi
Ndo basi tena soka letu
 
Timu ya soka ya taifa ya Uganda wamefanikiwa kuingia kwenye fainali za AFCON mwaka 2O17 baada ya kuifunga Comoros 1-O, mara ya mwisho Uganda kushiriki fainali hizo ilikuwa ni mwaka 1978
Sisi Tanzania TFF wapo busy kuwafungia wasemaji wa timu badala ya kuwekeza kwenye soka. Hii ndio Tanzania siasa mbele vitendo nyuma
Hao Uganda kwa upande mmoja safari hii wamefaidika na kundi walilokuwepo.Jiulize wangepangwa kundi tulilokuwepo wangefuzu?
 
Wangefuzu tu ukweli utabakia ukweli na nyeupe itabakia kuwa nyeupe
 
Kila siku utaskia tulifungwa lakini tulicheza vizuri

Tatizo lina anzia TFF uongozi haufai.

Serikali ya sas nayo kwenye michezo tulie tuu, saa ukichanganya na TFF ya Malinzi
Ndo basi tena soka letu
Mkuu nayaamini 100% maneno yako
 
Wangefuzu tu ukweli utabakia ukweli na nyeupe itabakia kuwa nyeupe
Wangeweza kuifunga Misri home&away kama walivyofanya kwa Comoro?Nigeria je?Bahati imewakuta
 
Mkuu pamoja na bahati lkn pia na maandalizi na kuondoa siasa kwenye mambo yasiyo hitaji siasa
 
Mkuu uganda wamecheza na comoro...maboxi wamecheza na timu dhaifu kidogo....
Siyo kwamba nawabeza comoro....Ila tanzania ina mkosi wa kupangiwa makundi magumu huku tukiwa na maandalizi hafifu....
Ni kweli serikali inabidi iongeze nguvu kusaidia timu ya taifa.....
WARUDISHE MICHEZO MASHULENI MAANA HUKO KUNA VIPAJI....NA PIA MITAANI KUNA VIPAJI LUKUKI....VINAACHWA..
WAKATI UMEFIKA TIMU HIYO IVUNJWE ITENGENEZWE UPYA.....NA KUWAONDOA HAWA WAVAA HELENI NA WASUKA NYWELE WACHEZAJI...

VIPAJI VIKO MASHULENI NA MITAANI

OVA

Wameshindwa kutoa ajira,usitegemee wasaidie timu ya taifa na michezo kiujumla.
 
Mkuu pamoja na bahati lkn pia na maandalizi na kuondoa siasa kwenye mambo yasiyo hitaji siasa
Jibu ...wangewza kuifunga Misri home and away?Nigeria Je?....hatuna wachezaji wengi wanao cheza nje ndio sababu kubwa.
 
Kumbuka Uganda miaka mitatu nyuma walizuiliwa na Zambia kwa penati 9 kwa 10.hata kocha waliyenaye anaujua mpira
 
Malinzi ndo anadidimiza soka la bongo hata serikali nayo ni sikio la kufa kwenye upande wa michezo kwa kutuchagulia mawaziri ambao kwenye michezo ni kama wamelazimishwa vile
 
Timu ya soka ya taifa ya Uganda wamefanikiwa kuingia kwenye fainali za AFCON mwaka 2O17 baada ya kuifunga Comoros 1-O, mara ya mwisho Uganda kushiriki fainali hizo ilikuwa ni mwaka 1978
Sisi Tanzania TFF wapo busy kuwafungia wasemaji wa timu badala ya kuwekeza kwenye soka. Hii ndio Tanzania siasa mbele vitendo nyuma
Jamali malinzi kaua kabisa mpira wa bongo.
 
Back
Top Bottom