Wakati Uingereza wanashinikiza Waziri Mkuu wao ajiuzulu, sisi hapa Tanzani, Polisi anamchoma sindano mfanyabiashara na kumuua tumekaa kimya!

Hua nakasirika sana mtu akiwaita wazungu eti 'WENZETU'
 
Inasikitisha sana !! Mchoma sindano ameharibu career yake kizembe sana !!
Hata Uvccm wakati wanasema kuwa watamchoma Lissu sindano za sumu walikuwa hawatanii.
 
Itoshe tu kusema "sisi watanzania ni mapopoma", watatuburuza saana hawa kenge, sababu sisi hatujitambui wala hatuna nia ya dhati kujikomboa toka kwenye udhalimu.
Tanzania ni mtoto wa haramu na dhulma, hakuna jema litokanalo na haramu. Mlidhani roho zile za 1964 ndio ingekuwa basi hamna kitu kama hicho. Kinachokosekana na uzalendo wa kitanzania ambao ni illusion ya Nyerere tuu. Ingekuwa Tanganyika na Zanzibar ungeweza kuwa na normal national sense.

Ni hayo tuu kwa sasa 😉
 
Umeongea jambo zito chief, hii tabu imeanzia mbali ni kama laana vile kwa tukio lile la 64.
 
Analetwa tu Muroto anachimba biti wote wananywea.
Wengi wanaosema watanzania Ni waoga, sababu kubwa Ni kwamba hao watanzania Ni aidha wamekataa kutumika kwao au hawawatumikii upande wao.

Happy watanzania waoga lakini juzi tumeona machinga wa Karume wamwandamana na kuweka magogo barabarani kudai haki zao.

Sasa wafuasi wa mbowe wao wanataka watu waandamane eti kwakuwa mbowe kakamatwa. Upuuzi mtupu
 
Watanzania wengi waoga na wanafiki,japo maandamano sio jibu la tatizo.
 
Sisi CCM imetujaza ujinga mtupu
 
Kuuliwa raia ni Mbowe aliuwawa huko Mtwara? shame on you
 
Siku akiuliwa mumeo usije hapa
 
Hili swala la MADADA wa kazi ndani serikali inabidi ipige marufuku kabisa au iweke UTARATIBU maalumu wa Kisheria hii ni MODERN SLAVE kabisa japo kuwa hata sisi wengine tumetoka kwenye nyumba zenye MADADA wa kazi ndani lkn hili swala sio, kabisa hasa katika mazingira ya TANZANIA asilimia mia kubwa waajiri wengi wana take advantage kwa umasikini wao au uhitaji wao wa kazi lkn treatment wanazopata au wanayopitia ni mambo magumu sn.

Sent from my SM-G975F using JamiiForums mobile app
 
Nimewahi kusoma stori za watu wanaotreat wadada hivyo ila siamini kama jirani yangu yupo hivyo
 
Kwa hiyo ulitaka na sisi tuandamane ili huyo askari ajiuzulu?
 
Wewe ndio umelogwa, unataka nani ajiuzuru sasa? na watenda uhalifu si wamekamatwa na wako mahakamani!! au unawashwawashwa?
 
Tanzania imejaa raia wasiotambua haki zao, ndio maana kutokana na elimu mbovu wanayoipata utakuta kutwa kuna mijitu inakesha kumsifia Rais kwa kutumia vizuri pesa za walipa kodi wa ndani na nje ya nchi, badala ya kuwapongeza walipaji wa hizo kodi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tumekaa kimya na nani kama inakuuma si uende barabarani beba bango ukiongozana na mkeo na wanao, mambo ya Uingereza wapi na wapi na mambo ya huku kwetu.
 
Swali langu sindano ya sumu nani alimpa? Je Polisi wanamiliki sindano za sumu za kuua watu kwa idhini ya Nani?...

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
 
Kwani police watanzania mshahara wake bei gani.Mana police wetu wana tamaa kichiz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…