Wakati ukuta! Muonekano wa sasa wa Jackie Chan! Miaka 70.

Wakati ukuta! Muonekano wa sasa wa Jackie Chan! Miaka 70.

Sasa hiyo scandal inamhusu vipi The Legend?
Aliwaambia watoto wake na wao watafute vya kwao maana yeye alipambana kuvisaka alivyonavyo wasibweteke kwa sababu Baba ni star
jackie-tout-2245633712.jpg
 
Dah! Vijana wa zamani tulifaidi sana heka heka za hawa jamaa na muvi zao kali na zenye uhalisia! Kuanzia huyu Jack Chain, Bolo Yeung, Van Damme, Arnold Swaziniger, Rambo, Jet Lee, Michael Dudikorf, Chuck Norris, Bruce Lee, na wengineo wengi!!

Kinachouma siku hizi eti vijana wetu wako busy kuwaangalia akina Mkojani!!
 
Back
Top Bottom