Wakati ukuta! Muonekano wa sasa wa Jackie Chan! Miaka 70.

Dah! Vijana wa zamani tulifaidi sana heka heka za hawa jamaa na muvi zao kali na zenye uhalisia! Kuanzia huyu Jack Chain, Bolo Yeung, Van Damme, Arnold Swaziniger, Rambo, Jet Lee, Michael Dudikorf, Chuck Norris, Bruce Lee, na wengineo wengi!!

Kinachouma siku hizi eti vijana wetu wako busy kuwaangalia akina Mkojani!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…