WAKATI UKUTA! Wacheza filamu za Kibabe wa zamani walivyo hivi sasa

Lazima ucheke kwa hayo maneno yake kwenye kutafsiri

"Never stop learning because life never stop teaching"
 
 

Attachments

  • FB_IMG_1501924896749.jpg
    50.8 KB · Views: 76
Kwenye Huu Uzi nimegundua Mwanga Lutila na The Businessman ni same person katika majibizano na NEXTLEVEL kama page ya sita post ya 111, 113 na 114.
Cc Moderator Bridger Invisible
Usitishike mkuu, Awali I'd ya the businessman ilikuwa ina jina la Mwanga lutila nikaja nikabadilisha ikawa hiyo the businessmen. Baada ya kula ban ya mwezi mzima nikairudisha I'd ya Mwanga lutila.
Hivi vitu vipo mkuu vya kuwa na i'd ya akiba ila nashukuru sijawahi kutumia kujijibu mwenyewe!

Tayali mods wamekwisha ziunganisha. Huwa inatokea
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] aisee nimecheka kwa sauti

Sent using Jamii Forums mobile app
 
jamani nilikua nampenda Dolf aiseee ndio kawa hivyooo ila jamaaa alikua handsome ile movie yake ya scorpion au ile yupo na tagawa aaaarggghh mpaka roho inaniuma
Bridge of Dragons akiwa na Carl Hiroyuki Tagawa;Showdown in Little Tokyo akiwa na Brandon Lee na Tagawa hapa akaongezeka mwehu mmoja anaitwa Toshishiro Obata ebanaeeeeh daaaah maisha yako kasi sana......

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umenikumbusha Bolo Yeung, movie aliyocheza na Van Damme inaitwa 'Blood Sport". Nimeangalia tena juzi, wala sikuchoka kuiangalia. Kweli kila zama na kitabu chake
"Double Impact" Bollo anamtupia mnyama Damme Pipa la mafuta mwanaume analirudisha lilikotoka kwa mguu tena mmoja......

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama Wema Sepetu hayupo kwenye hii list sichanhii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…