Dah Nimecheka sanaNguvu kitu cha kwisha mitaa ya kati tulikuwa na brother wetu mbavu nene kifua jumba sasa hakujua kama waqt hupita kuna siku kauvamia mfuko wa cement(dongo ulaya)kila akitaka kuunyanyua unarudi kila akikukuruka unarudi akabaki anautizama tukaenda kumsaidia tukakuta chozi linamtoka akasema enzi zangu mie sasa nimebaki django jina tu sio yule django mwenyewe.
Embu kuwa serious bana,prison break imetoka mwaka gani??View attachment 560331
VP Michael Scofield huyu jamaa nilimkubali sana ila naona anaanza poteza mvuto na yeye uzee unamwita
Sent using Jamii Forums mobile app
nilikuwa napenda picha yake 1 inaitwa red scorpion aliyoichezea africa kusini kama sikosei, ilibamba sanaDolph Lundgren.
niliwahi muona chuck norris kwenye supermakert 1 zanzibar nae ngozi ishavutika sana,Wapi Chuck Norris.. Frank Zagarino, Sean Conery
Kwani mnasemea za mwaka ganiEmbu kuwa serious bana,prison break imetoka mwaka gani??
Sio mchezo mpaka Ilifika waqt ukimuita brother Django anakujibu limebaki jina tu yeye mwenyewe hayupo ikawa tunamuita Django jina
70-90.
Anhaa kumbe bas sawa ila nami nimeonyesha mapenz yangu70-90.
Huyu mtoto muvie yake hiyo iliyompa jina hata miaka 15 haijafikisha.
saiv unaishi wapi kwani?mkuu,mie nimeanza kuzicheki pale tandale chama tangu the late 90s kwenda 2000s!halafu tunacheki mapicha,ikifika mida ya saa tatu usiku linawekwa "pilau" mpaka liamba!
Ni kitambo mkuu,kama umekulia uswazi hivi ni vitu vya kawaida kwa sie tulio kulia uswazi!!
Hahaha hii hatariDaaaaahhhhh wazee Mmenikumbusha maeneo ya Mburahati kwa Madoto,enz hizo nasoma primary halaf usku natoroka kwenda kuangalia pilau!
Sent using Jamii Forums mobile app
Zile za kabla ya sim ya mkononi Michael hadi za kufunua zilikuwa tayari ya sasa wana smartphone
Sio uzee,ni majukumu. Si mke wa mtu huyo...lazima azeeke haraka harakaView attachment 560331
VP Michael Scofield huyu jamaa nilimkubali sana ila naona anaanza poteza mvuto na yeye uzee unamwita
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3] [emoji3] [emoji3] ila mm siwahi kuamini kama kweli shogaSio uzee,ni majukumu. Si mke wa mtu huyo...lazima azeeke haraka haraka
angelisema mtu mwingine nisinge amini,kajisema mwenyewe yeye mke wa mtu kwanini nisiamini???[emoji3] [emoji3] [emoji3] ila mm siwahi kuamini kama kweli shoga
Sent using Jamii Forums mobile app