WAKATI UKUTA! Wacheza filamu za Kibabe wa zamani walivyo hivi sasa

WAKATI UKUTA! Wacheza filamu za Kibabe wa zamani walivyo hivi sasa

Screenshot_2017-08-07-15-45-02.png
f08166a6eccab549b0dbf01b9d4588d9.jpg

VP Michael Scofield huyu jamaa nilimkubali sana ila naona anaanza poteza mvuto na yeye uzee unamwita
ee04beaa684802b94ceba0067c26c932.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nguvu kitu cha kwisha mitaa ya kati tulikuwa na brother wetu mbavu nene kifua jumba sasa hakujua kama waqt hupita kuna siku kauvamia mfuko wa cement(dongo ulaya)kila akitaka kuunyanyua unarudi kila akikukuruka unarudi akabaki anautizama tukaenda kumsaidia tukakuta chozi linamtoka akasema enzi zangu mie sasa nimebaki django jina tu sio yule django mwenyewe.
Dah Nimecheka sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu,mie nimeanza kuzicheki pale tandale chama tangu the late 90s kwenda 2000s!halafu tunacheki mapicha,ikifika mida ya saa tatu usiku linawekwa "pilau" mpaka liamba!
Ni kitambo mkuu,kama umekulia uswazi hivi ni vitu vya kawaida kwa sie tulio kulia uswazi!!
saiv unaishi wapi kwani?
 
Enzi za kina power mabula (jitu la miraba minne kina power bernardo( tai kichaa )kina power iranda na power mwanza miaka yetu wahenga hiyo basi ikatokea pana mmoja akaamua kumtumikia muumba wake ni jambo jema sana hilo. Nguvu ni kitu cha kwisha leo hii hata uwezo wa kufungua kurasa ya biblia hana.
 
Back
Top Bottom